Siku ya jumamosi tarehe 21.7.12 mdau Aggrey Urio alifanya sherehe ya kuchoma nyama hapa mjini Reading kusheherekea siku yake ya kuzaliwa ikienda sambamba na kuwatambulisha wadau mke wake  Eunice aliekuja rasmi kutoka Tanzania. Aidha Aggrey alichukua fursa hii kuwashukuru wadau wote waliomwezesha kufanikisha kufunga ndoa yake nyumbani Tanzania hivi karibuni. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 24, 2012

    Naye ni dada wa kibongo jamaaa yangu? nimecheka sana na ile mada ya awali. ila usiogope bro. go for it.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 24, 2012

    Ankal trust me hua nafurahi sanaa nikisoma comments za watu waliopo bongo kila mara waki waandikia kwenye news za watu waliopo nje ya Tanzania ina onyesha ni jinsi gani sisi wabongo tulivyo na wivu tensa sanaa.... Man Hongera sana nad may the lord Christ of heaven be with you in everything you do and propser in everything you plan

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 24, 2012

    hakuna mwenye wivu wala nini, ila wewe kwa vile akili zako finyu, ndiyo maana unakwenda nje ya mstari. Pia elewa kwamba si lazima hao wanao comment wanatoka bongo tu, hii ni blog ya watu wote na ni popote pale duniani inasomwa. Eti watu wa bongo wana wivu sanaa. kama ni bungeni ,ungeombwa uutoe huo mstari au utolewe nje ya mjengo. Pia umeboronga ( lord Christ of heaven. ha ha !! Lugha gongana.Take care sir. mimi Zebedayo msema kweli.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 24, 2012

    Mdau ulopita wala usiwasingizie wabongo eti wanawaonea wivu mlioko ulaya si kweli siri zote mwazivujisha wenyewe huko huko kwani ndo mnajua mnavoishi. Mtu wa bongo atajuaje kuwa flani kaolewa na libabu ili apate makaratasi? au flani kaoza? baadhi ni waliokuwa wanaishi huko wamerudi so wanajua A-Z maisha ya huko haiingii akilini mtu ambaye hajawahi kuwa huko akawa ana info ya mambo yanavokwenda. Wala hatuwaonei wivu tunawaombea Mungu awasaidie mfanikiwe na kusaidia ndugu zenu walioko huku na hata mkishindwa basi muweze hata kujisaidia wenyewe angalau mfanye jambo la maana maishani mwenu. Wivu hata ulaya upo hata ulimwengu mzima so si ishu ya wabongo.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 24, 2012

    Ninyi mnaoweka blanket approach ya maisha yetu huku mamtoni mna uvivu wa kufikiri, maisha kati ya nchi na nchi yanatofautiana, miye sipo huku ughaibuni kwa ajili ya kujilipua au kuoza, nipo hapa kwa ajili ya elimu dunia niliyoipata inshallah, shule imepanda ya nguvu saaana, nimeajiri wafanyakazi thelathini kwenye biashara yangu ambayo nipo ubia na waulaya wawili.
    Kama mtu anabeba boksi kupata riziki yake so WHAT? ninyi kinawauma nini? Watanzania ndungu zangu tuache roho za korosho, tuangalie maendeleo na siyo kupiga domo bila sustance.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 24, 2012

    Hongera Eunice mwanangu Mungu awape maisha yenye amani kwenye ndoa yenu.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 24, 2012

    hahahah, kaka bado unapiga demo mitaa ya nani karibu na uwanja wa Madjestic ?

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 24, 2012

    Ehhh lakini mbona hawa si ndio wasomali kamba wa huko. huku wataka na huku wataka

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...