Siku ya jumamosi tarehe 21.7.12 mdau Aggrey Urio alifanya sherehe ya kuchoma nyama hapa mjini Reading kusheherekea siku yake ya kuzaliwa ikienda sambamba na kuwatambulisha wadau mke wake Eunice aliekuja rasmi kutoka Tanzania. Aidha Aggrey alichukua fursa hii kuwashukuru wadau wote waliomwezesha kufanikisha kufunga ndoa yake nyumbani Tanzania hivi karibuni.
Home
Unlabelled
Mdau Aggrey Urio aangusha BBQ Party Reading kusherehekea hepi besdei ya kuzaliwa kwake na kumtambulisha mai waifu wake
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Naye ni dada wa kibongo jamaaa yangu? nimecheka sana na ile mada ya awali. ila usiogope bro. go for it.
ReplyDeleteAnkal trust me hua nafurahi sanaa nikisoma comments za watu waliopo bongo kila mara waki waandikia kwenye news za watu waliopo nje ya Tanzania ina onyesha ni jinsi gani sisi wabongo tulivyo na wivu tensa sanaa.... Man Hongera sana nad may the lord Christ of heaven be with you in everything you do and propser in everything you plan
ReplyDeletehakuna mwenye wivu wala nini, ila wewe kwa vile akili zako finyu, ndiyo maana unakwenda nje ya mstari. Pia elewa kwamba si lazima hao wanao comment wanatoka bongo tu, hii ni blog ya watu wote na ni popote pale duniani inasomwa. Eti watu wa bongo wana wivu sanaa. kama ni bungeni ,ungeombwa uutoe huo mstari au utolewe nje ya mjengo. Pia umeboronga ( lord Christ of heaven. ha ha !! Lugha gongana.Take care sir. mimi Zebedayo msema kweli.
ReplyDeleteMdau ulopita wala usiwasingizie wabongo eti wanawaonea wivu mlioko ulaya si kweli siri zote mwazivujisha wenyewe huko huko kwani ndo mnajua mnavoishi. Mtu wa bongo atajuaje kuwa flani kaolewa na libabu ili apate makaratasi? au flani kaoza? baadhi ni waliokuwa wanaishi huko wamerudi so wanajua A-Z maisha ya huko haiingii akilini mtu ambaye hajawahi kuwa huko akawa ana info ya mambo yanavokwenda. Wala hatuwaonei wivu tunawaombea Mungu awasaidie mfanikiwe na kusaidia ndugu zenu walioko huku na hata mkishindwa basi muweze hata kujisaidia wenyewe angalau mfanye jambo la maana maishani mwenu. Wivu hata ulaya upo hata ulimwengu mzima so si ishu ya wabongo.
ReplyDeleteNinyi mnaoweka blanket approach ya maisha yetu huku mamtoni mna uvivu wa kufikiri, maisha kati ya nchi na nchi yanatofautiana, miye sipo huku ughaibuni kwa ajili ya kujilipua au kuoza, nipo hapa kwa ajili ya elimu dunia niliyoipata inshallah, shule imepanda ya nguvu saaana, nimeajiri wafanyakazi thelathini kwenye biashara yangu ambayo nipo ubia na waulaya wawili.
ReplyDeleteKama mtu anabeba boksi kupata riziki yake so WHAT? ninyi kinawauma nini? Watanzania ndungu zangu tuache roho za korosho, tuangalie maendeleo na siyo kupiga domo bila sustance.
Hongera Eunice mwanangu Mungu awape maisha yenye amani kwenye ndoa yenu.
ReplyDeletehahahah, kaka bado unapiga demo mitaa ya nani karibu na uwanja wa Madjestic ?
ReplyDeleteEhhh lakini mbona hawa si ndio wasomali kamba wa huko. huku wataka na huku wataka
ReplyDelete