Asalaam aleykum,
Leeds Swahili Culture Community ina furaha kuwakaribisheni  Ndugu wote kuhudhuria  Mihadhara ya mwezi huu mtukufu wa Ramadhani iliyoandaliwa hapa Leeds U.K.  kama ifuatavyo;
Tarehe: 28.07.2012; siku ya Jumamosi , muhadhara kuanzia saa 12 jioni  ikifuatiwa na futari kwa wote.
Tarehe: 11.08.2012; siku ya Jumamosi, muhadhara kuanzia saa 12 jioni
Ikifuatiwa na futari kwa wote.

Mihadhara na kufutari vyote vitafanyika kwenye ukumbi 
wa Erbo Garden Hall- Leeds.

Kwa upendo na Baraka za Allah, Wote mnakaribishwa na tafadhali mfahamishe na mwenzio.

Kwa maelezo zaidi wasiliana na mwenyekiti (LSCC) kwa namba 
+447946724908 au +447575464698.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 27, 2012

    Wanazuoni nina swali,je ukifuturishwa na watu wasio ma fardhi(sio waislamu),je saumu inaswihi? Tuelimishane please

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 27, 2012

    Jamaa zangu walipokuwa wanasoma Dover College UK miaka ya 90, walikuwa wanatengewa futari. Mimi si mwanazuoni kwa hivyo sina jibu lakini nina hakika kabisa kuwa kama anayekufuturisha (awe Mwislamu au si Mwislamu)anafanya biashara ya pombe, ukahaba. nguruwe, kamari au madawa ya kulevya basi utakuwa huna swaumu kabbisa.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 28, 2012

    Kama si mwanazuoni unajibu ya nini maana hujajibu spesific za swali,in general rule ukiacha hizo tabia ulizotaja(ulevi etc.),mtu wa dini nyingine akijitolea kufuturisha,je saumu inashwhi? Please kama huna jibu kaa kimya maana serious people needed.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...