Kaimu mkuu wa mkoa wa Ruvuma Joseph Mkirikiti akimkaribisha Rais mstaafu wa awamu ya tatu Mhe Benjamin Mkapa katika uwanja wa ndege wa Songea.
Meya wa manispaa ya Songea mstahiki Charles Mhagama akisamiana na rais mstaafu wa awamu wa tatu Mhe Benjamin Mkapas baada ya kutua mjini Songea
Kaimu mkuu wa mkoa wa Ruvuma Joseph Mkirikiti kushoto akimuongoza Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Mhe Benjamin Mkapa kwenda kuangalia vikundi vya ngoma katika uwanja wa ndege mjini Songea.
Rais wa awamu ya tatu Mhe Benjamin Mkapa akiangalia vikundi vya ngoma (havipo pichani) katika uwanja wa ndege wa Songea akiwa na kaimu mkuu wa mkoa wa Ruvuma Mhe Joseph Mkirikiti. Katikati ni mwenyekiti wa CCM mkoa Cornel Msuha kulia ni mama Anna Mkapa na wa pili kulia mke wa mkuu wa mkoa wa Ruvuma Said Mwambungu Mama Afisa Mwambungu.
PICHA NA MUHIDIN AMRI WA GLOBU YA JAMII
MZEE MKAPA HONGERA SANA UMEPUNGUZA MWILI UMEPENDEZA UTADHANI KIJANA MDOGOOOO.
ReplyDeleteHabari haijakamilika, mbona hijaandikwa kaenda kufanya nini? au kaenda kuangalia vikundi vya ngoma?
ReplyDeleteAmewasili Ruvuma kufanya nini? elezeeni kilichompeleka huko
ReplyDeleteThe great presdent
ReplyDeleteMbona hamna redi kapeti?
ReplyDeleteSHUKURANI KWA PICHA HII, JAMANI KWA WALE WENYE KUHUSIKA NA MATUMIZI KATIKA MAISHA, YAANI SISI TUNAO HUDUMIA FAMILIA TUMPONGEZE HUYU RAIS MSTAAFU, KWANI KATIKA KIPINDI CHAKE TULIKUWA NA BEI ZA MAHITAJI ZENYE KUELEWEKA NA WAFANYAKAZI TULIRUDISHIWA HADHI ZETU KUTOKA AWAMU YA PILI AMBAPO WALIOTAMBA NI WALE TU WALIOTUMIA VIBAYA "RUKSA" NA WAFANYAKAZI IKAWA HATUNA CHETU,WATU WALITEMBEA NA PESA TELE KATIKA SOKSI NA MIFUKO YA KHAKI NA WENGINE KATIKA MAKAPU NYUMA YA BUTI ZA GARI ZAO. HUYU BABA AKATURUDISHIA HADHI ZETU, SASA TENA AWAMU YA NNE HATUWEZI HATA KUWA NA BAJETI SIE WAFANYAKAZI ILA NI WAKATI WAO MAFISADI KUISHI KAMA WAPO PEPONI NA SIE TUKIANGALIA. BIG UP MZEE MKAPA (UNCLE BEN) INGEWEZEKANA URUDI JAPO KWA KIPINDI KIMOJA.
ReplyDeleteDODOMA KAENDA KUPATA KIKOMBE KUTOKA KWA BABU.
ReplyDelete