Kaimu mkuu wa mkoa wa Ruvuma Joseph Mkirikiti akimkaribisha  Rais mstaafu wa awamu ya tatu Mhe Benjamin Mkapa katika uwanja wa ndege wa Songea.
 Meya wa manispaa ya Songea mstahiki Charles Mhagama  akisamiana na rais mstaafu wa awamu wa tatu Mhe Benjamin Mkapas baada ya kutua  mjini Songea
 Kaimu mkuu wa mkoa wa Ruvuma Joseph Mkirikiti kushoto akimuongoza Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Mhe Benjamin Mkapa kwenda kuangalia vikundi vya ngoma katika uwanja wa ndege mjini Songea.
Rais wa awamu ya tatu Mhe Benjamin Mkapa  akiangalia vikundi vya ngoma (havipo pichani)  katika uwanja wa ndege wa Songea akiwa na kaimu mkuu wa mkoa wa Ruvuma Mhe Joseph Mkirikiti. Katikati ni mwenyekiti wa CCM  mkoa Cornel Msuha kulia ni mama Anna Mkapa na wa pili kulia mke wa mkuu wa mkoa wa Ruvuma Said Mwambungu Mama Afisa Mwambungu. 
                              PICHA NA MUHIDIN AMRI WA GLOBU YA JAMII

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 27, 2012

    MZEE MKAPA HONGERA SANA UMEPUNGUZA MWILI UMEPENDEZA UTADHANI KIJANA MDOGOOOO.

    ReplyDelete
  2. Habari haijakamilika, mbona hijaandikwa kaenda kufanya nini? au kaenda kuangalia vikundi vya ngoma?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 27, 2012

    Amewasili Ruvuma kufanya nini? elezeeni kilichompeleka huko

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 27, 2012

    The great presdent

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 27, 2012

    Mbona hamna redi kapeti?

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 27, 2012

    SHUKURANI KWA PICHA HII, JAMANI KWA WALE WENYE KUHUSIKA NA MATUMIZI KATIKA MAISHA, YAANI SISI TUNAO HUDUMIA FAMILIA TUMPONGEZE HUYU RAIS MSTAAFU, KWANI KATIKA KIPINDI CHAKE TULIKUWA NA BEI ZA MAHITAJI ZENYE KUELEWEKA NA WAFANYAKAZI TULIRUDISHIWA HADHI ZETU KUTOKA AWAMU YA PILI AMBAPO WALIOTAMBA NI WALE TU WALIOTUMIA VIBAYA "RUKSA" NA WAFANYAKAZI IKAWA HATUNA CHETU,WATU WALITEMBEA NA PESA TELE KATIKA SOKSI NA MIFUKO YA KHAKI NA WENGINE KATIKA MAKAPU NYUMA YA BUTI ZA GARI ZAO. HUYU BABA AKATURUDISHIA HADHI ZETU, SASA TENA AWAMU YA NNE HATUWEZI HATA KUWA NA BAJETI SIE WAFANYAKAZI ILA NI WAKATI WAO MAFISADI KUISHI KAMA WAPO PEPONI NA SIE TUKIANGALIA. BIG UP MZEE MKAPA (UNCLE BEN) INGEWEZEKANA URUDI JAPO KWA KIPINDI KIMOJA.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 27, 2012

    DODOMA KAENDA KUPATA KIKOMBE KUTOKA KWA BABU.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...