![]() |
| Mtangazaji wa BBC Charles Hilary na afisa ubalozi Bw. Nginillah katika kijiji cha Olimpiki London |
Viongozi wa timu ya Olimpiki ya Tanzania wakiwa na maofisa wa Ubalozi wetu Uingereza baada ya kuwasili kwenye makazi yao katika kijiji cha Olimpiki, London, leo
Jengo ambalo timu ya Tanzania itakaa wakati wa michezo hiyo
Wanamichezo na maofisa wa ublozi kijijini hapo leo
Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Mhe. Peter Kallaghe (wa tatu toka kushoto) akiwa na Watanzania wengine wakisubiri Bendera ya Taifa kupandishwa katika kijiji cha Olimpiki jijini London muda huu.
Picha zote na mdau Israel saria



.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
Waifu anasema yeye hatowahi kusherehekea Tanzania mwaka huu ijapokuwa yupo hapa East London asema hajakata tamaa ya kuiona timu ya zenj one day !Ingawa bado analo gamba la kijani la Adam na Hawa.
ReplyDelete