Ni mwaka mmoja sasa (11.08.2011- 11.08.2012) tangu Baba yetu Mpendwa Isack Alfred Mfinanga ututoke tarehe 11 August 2011, unakumbukwa sana na watoto wako Prince, Evelyne na AMMY, Mkeo Karen, Mama yako, kaka na dada zako, ndugu na jamaa na marafiki kwa ucheshi na ukarimu wako.
Tulikupenda sana ila Mungu kakupenda zaidi.
Jina la Bwana Libarikiwe Milele.
Familia ya Isack Alfred Mfinanga
R.I.P. Isack.
ReplyDeleteAmen
RIP Isaack
ReplyDeleteOh dear, gone too soon....poleni sana ndugu, jamaa, na marafiki. Mungu aendelee kumweka pema peponi, Amina.
ReplyDeleteDuuuh, sikulijua hili, poleni sana sana familia ya Isack. Isack nilikuwa naye jeshini na tulikuwa karibu sana sana. Mara ya mwisho kuonane naye ni kama miaka 10 iliyopita hivi. Poni sana na Mungu aipe faraja familia yake.
ReplyDeleteMbarikiwe sana,