Kapten Gadner Habash ambaye amejiunga na kituo hicho cha redio na kutangazia umma rasmi akizungumza na wanahabari pamoja na watangazaji wenzake, wanaofuatia katika picha ni Scholastica Mazula, Criford Ndimbo na Dida wa Mchops.
Home
Unlabelled
GADNER G. HABASH AIBUKIA RADIO TIMES 100.5 FM, KURINDIMA NA KIPINDI CHA “MASKANI”
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


mie ndo maana siku hizi navaa nguo pana za kumwaga
ReplyDeleteMdau hapo juu umnifanya nicheke baada ya kukupata
ReplyDeletehee naonmba nikatie kilo mbili basi bro h ah haha
ReplyDeleteKwii! Kwii! Kwii! Kwii!
ReplyDeleteNa mie nimechekaje kwa nguvu!! Nakuunga mkono na miguu
ReplyDeleteHaswaaa! Nilikuwa nalo hilo hilo,la kumwaga kumfunda kama atafundika. Umenisaidia tena kwa lugha ya uungwana. Ilikuwa nitoe kavu. Pamoja na hiloo. Tuende kwa Tailor. Kutungua Noma!
ReplyDeleteHahahaaaa..... Inanikumbusha ila sanamu ya Michelin!!!
ReplyDeleteMikorogo wadada itawauwa weupe ka makaratasi lol
ReplyDeleteNIWAPE SIRI KINA DADA VAZI LA KUFICHA SHEPU ZA UNENE PIGA SUTI. MIMI NIMEPATA MTOTO JUZI JUZI TU TUMBO NDIO VILE TENA. NAINGIA NDANI YA SUTI KOTI REFU KIDOGO WATU WANAULIZA ARE YOU SURE YOU HAD A BABY? SIRI NDANI YA SUTI, TENA UKIPATA YA KITENGE NA JOTO HILO LA DAR MAMBO FASHENI. HAYA MAMBO YA TIGHTS TUWAACHIE WENYE VITUMBO VIDOGOO.
ReplyDelete