Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rubani Bomani na wanaanga wenzie wa Ndege za Serikali kabla ya kuanza safari ya kwenda Kampala, Uganda, kuhudhuria mkutano wa nchi za Maziwa Makuuasubuhi leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Saidi Mecky Sadik kabla ya kuanza safari ya kwenda Kampala, Uganda,kuhudhuria mkutano wa nchi za Maziwa Makuu asubuhi leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Wananchi la Tanzania Luteni Jenerali Abdulrahman Shimbo kabla ya kabla ya kuanza safari ya kwenda Kampala, Uganda, kuhudhuria mkutano wa nchi za Maziwa Makuuasubuhi leo. Katikati yao ni Inspoekta Jenerali wa Polisi Saidi Mwema.PICHA NA IKULU

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. mungu akufikishe na kukurudisha salama.

    ReplyDelete
  2. kova naye alikuwepo...

    ReplyDelete
  3. Ziwa nyasa letu waambie hao wasituone kimya, mtu chake bwana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...