MOZA MOHAMEDI MKWECHE 

TAREHE 1/9/2012 NI MIAKA MITANO (5) TANGU KUONDOKEWA NA MWANANGU MPENZI MOZA. NI UKWELI KUWA UMETUTOKA KIMWILI, LAKINI NDANI YA MIOYO YETU BADO UNGALI NASI.KUMBUKUMBU YA UPENDO WAKO INAENDELEA KUWA DIRA KWA SIYE AMBAO UMETUACHA, TUKISUBIRI SIKU YA KUKUTANA KWA ALLAH.

DAIMA UNAKUMBUKWA NA MAMA YAKO ROSE WALELE CHIJUMBA, MWANAO ROSE, NAA, WADOGO ZAKO ASINA NA LATIFA PAMOJA WANAFAMILIA WOTE YA WALELE NA MKWECHE NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI. 

MUNGU NA AENDELEE KUIWEKA ROHO YAKO MAHALI PEMA PEPONI – AMEEN
BIBI ROSE WALELE CHIJUMBA NA FAMILIA YAKE WANAPENDA KUWAKARIBISHA WOTE KWENYE KISOMO SIKU YA JUMAMOSI 1/9/2012 KUANZIA SAA 10.00 JIONI KITAKACHOFANYIKA NYUMBANI KWAO- MBAGALA MISSION. KARIBUNI SANA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Moza kumbe amefariki? Tokea Bunge Primary. RIP maisha kweli mafupi Mungu amlaze mahala pema peponi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...