Ni mwaka mmoja sasa (11.08.2011- 11.08.2012) tangu Baba yetu Mpendwa Isack Alfred Mfinanga ututoke tarehe 11 August 2011, unakumbukwa sana na watoto wako Prince, Evelyne na AMMY, Mkeo Karen, Mama yako, kaka na dada zako, ndugu na jamaa na marafiki kwa ucheshi na ukarimu wako.


Tulikupenda sana ila Mungu kakupenda zaidi. 
Jina la Bwana Libarikiwe Milele.



Familia ya Isack Alfred Mfinanga

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. R.I.P. Isack.
    Amen

    ReplyDelete
  2. Oh dear, gone too soon....poleni sana ndugu, jamaa, na marafiki. Mungu aendelee kumweka pema peponi, Amina.

    ReplyDelete
  3. Fulgence JosephAugust 10, 2012

    Duuuh, sikulijua hili, poleni sana sana familia ya Isack. Isack nilikuwa naye jeshini na tulikuwa karibu sana sana. Mara ya mwisho kuonane naye ni kama miaka 10 iliyopita hivi. Poni sana na Mungu aipe faraja familia yake.

    Mbarikiwe sana,

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...