Mkuu wa mkoa wa Arusha,Magesa Mulongo akiwa ameshika Mwenge wa Uhuru kabla ya kuukabidhi kwa mkuu wa mkoa wa Mara kwenye lango la Hifadhi ya Taifa Serengeti.
Mkuu wa wilaya ya Karatu,Felix Ntibenda(kulia)akiwa na wakimbiza Mwenge wa Uhuru kitaifa na askari wa kutuliza ghasia mkoa wa Arusha wakiwa katika hali ya hamasa na ukakamavu.
Baadhi ya wananchi waliopata bahati ya kushika Mwenge wa Uhuru kwenye kituo cha Polisi Ngorongoro kilichokarabatiwa na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro(NCAA).
Wasichana wa jamii ya Wadzabe wakiwa kwenye pozi kuulaki Mwenge wilayani Ngorongoro.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Vitu organic.

    ReplyDelete
  2. Loo, kumbe mwenge nao unalindwa hivi!!

    ReplyDelete
  3. ni Free range.

    I love afrika!

    sasa umeona tangazo la nike hapo ?

    ReplyDelete
  4. Ankali niunganishie huyo wa kwanza kushoto............mkareeeeeeeeee!

    ReplyDelete
  5. 1.Mwenge huo Mwenge Arusha!
    Wafuate CHADEMA wote wakorofi
    Unguza wakorofi wote Arusha!

    2.Mwenge huo Mwenge Arusha!
    Unguza wakorofi wote wapinga
    Muungano Zanzibar!

    3.Mwenge huo Mwenge Arusha!
    Unguza wakorofi wote wataka Ziwa
    Nyasa Malawi!



    ReplyDelete
  6. Haya Chadema tuone Uzalendo wenu kwa Tanzania!

    Mwenge huo Mjini kwenu Arusha!

    Au na ninyi ni kama Wapinga Muungano wa Zanzibar???

    ReplyDelete
  7. Hawa peku peku tu, wako poa

    ReplyDelete
  8. Hao wasichana aahh! Wananiumiza roho, hivi nianzeje ili na mimi nipate kuwa mwanajamii wao kindoa?

    ReplyDelete
  9. vitu natural hakuna kuchakachua hapo

    ReplyDelete
  10. ARUSHA:

    Mchaka mchaka wa Mbio za Mwenge Jijini Arusha uelekezwe uwapigie ambush Chadema hadi katika Vijiwe vyao!

    Mgambo wa Mbio za Mwenge wawakamate wote Chadema wakorofi na kuwapeleka katika Mafunzo ya Kambi za Kujenga Taifa JKT ili kuwapa mwamko wa Utaifa na Uzalendo!

    Si ndio mmeona Bungeni wameshapitisha Kambi na Huduma za Mafunzo ya JKT zimeanza?

    ReplyDelete
  11. Watanzania kwl hamnazo, all of the comments above is just crap as they could get,duh kwl taifa hili ni kizazi cha hamnazo,hapa ilikuwa watu wajadili umuhimu wa huu mwenge na gharama zake,do we really need this touch to go allover the country while we don't have a CT Scan at any of our public hospitals?but ppl r too off point.MUNGU IBARIKI TANZANIA

    ReplyDelete
  12. Ndio WaTZ jamani. The nation is an old dog! how can you introduce a new rule? U gotta find a tricky if lucky t' ll work!
    Good lucky.
    Bongo siendi tena!
    Mombasa siendi tena!
    Kuna ...... wengi!
    Harambee!
    Ni kuchakachua tuuu! kuanzi chini mpaka juu!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...