Mkuu wa mkoa wa Arusha,Magesa Mulongo akiwa ameshika Mwenge wa Uhuru kabla ya kuukabidhi kwa mkuu wa mkoa wa Mara kwenye lango la Hifadhi ya Taifa Serengeti.
Mkuu wa wilaya ya Karatu,Felix Ntibenda(kulia)akiwa na wakimbiza Mwenge wa Uhuru kitaifa na askari wa kutuliza ghasia mkoa wa Arusha wakiwa katika hali ya hamasa na ukakamavu.
Baadhi ya wananchi waliopata bahati ya kushika Mwenge wa Uhuru kwenye kituo cha Polisi Ngorongoro kilichokarabatiwa na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro(NCAA).
Wasichana wa jamii ya Wadzabe wakiwa kwenye pozi kuulaki Mwenge wilayani Ngorongoro.







Vitu organic.
ReplyDeleteLoo, kumbe mwenge nao unalindwa hivi!!
ReplyDeleteni Free range.
ReplyDeleteI love afrika!
sasa umeona tangazo la nike hapo ?
Ankali niunganishie huyo wa kwanza kushoto............mkareeeeeeeeee!
ReplyDelete1.Mwenge huo Mwenge Arusha!
ReplyDeleteWafuate CHADEMA wote wakorofi
Unguza wakorofi wote Arusha!
2.Mwenge huo Mwenge Arusha!
Unguza wakorofi wote wapinga
Muungano Zanzibar!
3.Mwenge huo Mwenge Arusha!
Unguza wakorofi wote wataka Ziwa
Nyasa Malawi!
Haya Chadema tuone Uzalendo wenu kwa Tanzania!
ReplyDeleteMwenge huo Mjini kwenu Arusha!
Au na ninyi ni kama Wapinga Muungano wa Zanzibar???
Hawa peku peku tu, wako poa
ReplyDeleteHao wasichana aahh! Wananiumiza roho, hivi nianzeje ili na mimi nipate kuwa mwanajamii wao kindoa?
ReplyDeletevitu natural hakuna kuchakachua hapo
ReplyDeleteARUSHA:
ReplyDeleteMchaka mchaka wa Mbio za Mwenge Jijini Arusha uelekezwe uwapigie ambush Chadema hadi katika Vijiwe vyao!
Mgambo wa Mbio za Mwenge wawakamate wote Chadema wakorofi na kuwapeleka katika Mafunzo ya Kambi za Kujenga Taifa JKT ili kuwapa mwamko wa Utaifa na Uzalendo!
Si ndio mmeona Bungeni wameshapitisha Kambi na Huduma za Mafunzo ya JKT zimeanza?
Watanzania kwl hamnazo, all of the comments above is just crap as they could get,duh kwl taifa hili ni kizazi cha hamnazo,hapa ilikuwa watu wajadili umuhimu wa huu mwenge na gharama zake,do we really need this touch to go allover the country while we don't have a CT Scan at any of our public hospitals?but ppl r too off point.MUNGU IBARIKI TANZANIA
ReplyDeleteNdio WaTZ jamani. The nation is an old dog! how can you introduce a new rule? U gotta find a tricky if lucky t' ll work!
ReplyDeleteGood lucky.
Bongo siendi tena!
Mombasa siendi tena!
Kuna ...... wengi!
Harambee!
Ni kuchakachua tuuu! kuanzi chini mpaka juu!