Mjuaji wa kila kitu, hata kama ndio kwanza anakisikia
Tatizo aghalabu ni yeye, ila hodari kuona kibanzi kwa mwenzie
Anafuata mkumbo hata asiyoyajua ubaya wake mbeleni
Nidhamu kwake ni msamiati mgumu mno
Zimwi likujualo lina afadhali
Anapenda sifa huyo, balaa
Nani kama Mtanzania? Hakuna…
Inakuuma eh?
Anza moja
Na Mdau Ughaibuni


hahaa.. ankali taarabu pia waziweza ati
ReplyDeleteWhat is your point?
ReplyDeleteNi kweli ulosema kwenye ubeti wa utenzi wako. Hata hivyo uanze wewe kubadilika na uoneshe mfano.
ReplyDeleteMjuaji ni wewe...unayehukumu wenzio...!!
ReplyDeleteMbona hilo shairi halina sifa nyingine kubwa ya Mtanzania ambayo ni ukarimu?
ReplyDeleteMaoni ya Mdau wa Ughaibuni ni kweli kabisa Watanzania tulio wengi tabia hizo ni zetu kabisa! Kulalamika kwingi, ujuaji usio na tija mwingi kuwajibika duni!
ReplyDeleteNdiyo maana hatuendelei tunapenda sana Dezo( maisha rahisi rahisi tu)wakati hatujitumi.
Nakuunga mkono Mdau ila tupendekeze mkakati wa kutoka hapo.
"tuache kuhoji utalaam tuache watendaji wafanye kazi zao kutumia utalaam kwenye makosa tukosoe kwa lengo la kurekebisha lakini tukiwa na uhakika wa hicho tunachokosoa kwamba kimefanywa ndivyo sivyo" tuache ushabiki usiojenga na majungu!
Tumbafu!!!!!
ReplyDeleteNeno lako mdau naona linazidi kuleta maana na uhalisia. Ukweli unajionyesha baadhi ya wadau ktk comments zao wanaonyesha hizo tabia. Kwanini wa Tz hatupendi kukosolewa na kupewa ukweli wa mambo? Tubadilike jamani especially ughaibuni huku
ReplyDeleteupo sahihi mdau kila mtu ni mwanasiasa,mchumi,daktari,mwanasheria ndio maana tuna longolongo nyingi
ReplyDeleteMdau yuko sawa kwani huku ughaibuni mataifa mengi ya Africa wanatudharau wakisikia tu Mtanzania basi utasikia wanamaka ya dharau,ni kutokana ukweli ya mada ya mdau hapo juu,Kuiga,ujuawaji,uteja na mambo mengi yakipumbavu
ReplyDeleteMichuzi inakuwaje unazipa nafasi PUMBA kama hizi kwenye blog yako yenye HESHIMA kubwa???
ReplyDeleteManeno kama haya siyo ya watu wa UGHAIBUNI kabisaaa.. NAKATAA KATAKATA!!
ReplyDeleteYaonekana mwandishi ni mwanamke shabiki wa Taarabu ambaye yupo Tanzania na wala hajawahi kugusa ughaibuni!
Poor Mentality are always looking Cool People to trouble them..
ReplyDeleteGROW UP sucker!!
This is brain waste
ReplyDeleteYOU NEVER KNOW WHAT IS GOOD FOR YOU UNTIL YOU LOOSE IT.
ReplyDeletePonda tu but hiki ki utenzi chako kimejaa chuki na kejeli, sifa ZOTE hizo ni za BINADAMU.
Wewe chekesha watu tu lakini waTZ tuko tofauti sana when it comes to ukarimu na kuwa na haya.
Nimetembea sana to different countries, opinion ya wenzetu kwetu is totally different. Do some research, we rank high positively in many aspects of mankind and humanity. Mila na desturi zimebaki kwenye damu.
Uko ughaibuni gani?
Duh! kumbe akili za huyo mdau wa ughaibuni ni sawa tu na zetu huku uswahilini..
ReplyDeleteUtumbo tu kwa kwenda mbele... hahaa
Nadhani linamhusu Mtanzania wa Ughaibuni alochanganywa na maisha.
ReplyDeletePoleni mlioko Ughaibuni maana wengi mnalia kilio kama cha huyo mwenzenu.
Ni stress tu hizo. wote mtakuwa hivo hivo ila mnawaona wenzenu tu na nyie ni mule mule
We ulouliza "what's your point?" inaonekana elimu yako ni ya kiTanzania hasa: Kila kitu hadi utafuniwe. Can't you see the guy's point there?
ReplyDeleteHuyo Mdau wa Ugahaibuni ni mbeba mabox aliyechanganyikiwa.
ReplyDeleteHana lolote!
Na hilo ni neno,,,ila mwandishi amemkusudia mtu ni vile hajamtaja!
ReplyDelete10000000000000000000% trueeeeeeeeeeeeee
ReplyDelete
ReplyDeleteNO ONE IS PERFECT IN THIS IMPERFECT WORLD, EVEN THE PLANET EARTH IS NOT PERFECT ROUND AS WE BELIEVE, IT IS OVAL!
SO, Tell us who is perfect???
"Nani kama mTanzania? Hakuna"...what's this rubbish?
All mankind applies to this Mickey mouse poem.
Nakubaliana na mdau anayesema maneno kama haya si ya mdau kutoka ughaibuni kwa sababu mimi naishi ughaibuni ambako kuna watu mbalimbali kutoka nchi tofauti za kiafrika na kunapokuwa na ishu muhimu watanzania tunakuwa chaguo la kwanza katika kushirikishwa kwa sababu wanatuamini kwa mambo kibao. Tatizo letu kubwa ni kutojali muda.
ReplyDeleteNinachowapendea wabongo ni KUMPA VIDONGE mpuuzi yoyote anayeleta post za KUCHAFUA HALI YA HEWA kwenye Blog ya Michuzi.
ReplyDeleteGET A LIFE GIRL
Nyokooooooooooooo!
ReplyDeleteKweli...
ReplyDeleteanaesema huyo ni mwanamke ni taahira kabisa... kwani umeona wanawake ndio wanaandika upuuzi? acha dharau na mfumo dume dume wako
ReplyDeleteMBONA MAJUNGU RUSHWA UVIVU NA UZEMBE HUJATIA HUMU MJOMBAAAAA. BONGOLALAAA HII ND'O MAANA WATU WAJISOMBEA MABILIONI, KILA MTU MSANII BONGO, KILA MTU MUCH KNOW "KITU KIDOGO" MBELE KULIKO KUJALI HUDUMA AU KAZI ALIOMBA. SERVING THE PUBLIC.
ReplyDeleteHaya jamani huyu mtoa mada yuko UK, na ananuka choo namna hii je ? angebaki bongo ? angepanda daladala ya nani ??? wachache waliobaki huku kama huyu ,ndo hao wanaoturudisha nyuma kila siku,itabidi tuwape hizo dola 10 10 za kulipia uwanja wa ndege waje huko mjumuike nao.Zebedayo msema kweli
ReplyDelete