Mjuaji wa kila kitu, hata kama ndio kwanza anakisikia
Tatizo aghalabu ni yeye, ila hodari kuona kibanzi kwa  mwenzie
Anafuata mkumbo hata asiyoyajua ubaya wake mbeleni
Nidhamu kwake ni msamiati mgumu mno
Zimwi likujualo lina afadhali
Anapenda sifa huyo, balaa
Nani kama Mtanzania? Hakuna…
Inakuuma eh?
Anza moja

Na Mdau Ughaibuni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 29 mpaka sasa

  1. hahaa.. ankali taarabu pia waziweza ati

    ReplyDelete
  2. What is your point?

    ReplyDelete
  3. Ni kweli ulosema kwenye ubeti wa utenzi wako. Hata hivyo uanze wewe kubadilika na uoneshe mfano.

    ReplyDelete
  4. Mjuaji ni wewe...unayehukumu wenzio...!!

    ReplyDelete
  5. Mbona hilo shairi halina sifa nyingine kubwa ya Mtanzania ambayo ni ukarimu?

    ReplyDelete
  6. Maoni ya Mdau wa Ughaibuni ni kweli kabisa Watanzania tulio wengi tabia hizo ni zetu kabisa! Kulalamika kwingi, ujuaji usio na tija mwingi kuwajibika duni!
    Ndiyo maana hatuendelei tunapenda sana Dezo( maisha rahisi rahisi tu)wakati hatujitumi.

    Nakuunga mkono Mdau ila tupendekeze mkakati wa kutoka hapo.
    "tuache kuhoji utalaam tuache watendaji wafanye kazi zao kutumia utalaam kwenye makosa tukosoe kwa lengo la kurekebisha lakini tukiwa na uhakika wa hicho tunachokosoa kwamba kimefanywa ndivyo sivyo" tuache ushabiki usiojenga na majungu!

    ReplyDelete
  7. Tumbafu!!!!!

    ReplyDelete
  8. Neno lako mdau naona linazidi kuleta maana na uhalisia. Ukweli unajionyesha baadhi ya wadau ktk comments zao wanaonyesha hizo tabia. Kwanini wa Tz hatupendi kukosolewa na kupewa ukweli wa mambo? Tubadilike jamani especially ughaibuni huku

    ReplyDelete
  9. upo sahihi mdau kila mtu ni mwanasiasa,mchumi,daktari,mwanasheria ndio maana tuna longolongo nyingi

    ReplyDelete
  10. Mdau yuko sawa kwani huku ughaibuni mataifa mengi ya Africa wanatudharau wakisikia tu Mtanzania basi utasikia wanamaka ya dharau,ni kutokana ukweli ya mada ya mdau hapo juu,Kuiga,ujuawaji,uteja na mambo mengi yakipumbavu

    ReplyDelete
  11. Michuzi inakuwaje unazipa nafasi PUMBA kama hizi kwenye blog yako yenye HESHIMA kubwa???

    ReplyDelete
  12. Maneno kama haya siyo ya watu wa UGHAIBUNI kabisaaa.. NAKATAA KATAKATA!!
    Yaonekana mwandishi ni mwanamke shabiki wa Taarabu ambaye yupo Tanzania na wala hajawahi kugusa ughaibuni!

    ReplyDelete
  13. Poor Mentality are always looking Cool People to trouble them..
    GROW UP sucker!!

    ReplyDelete
  14. This is brain waste

    ReplyDelete
  15. YOU NEVER KNOW WHAT IS GOOD FOR YOU UNTIL YOU LOOSE IT.

    Ponda tu but hiki ki utenzi chako kimejaa chuki na kejeli, sifa ZOTE hizo ni za BINADAMU.

    Wewe chekesha watu tu lakini waTZ tuko tofauti sana when it comes to ukarimu na kuwa na haya.

    Nimetembea sana to different countries, opinion ya wenzetu kwetu is totally different. Do some research, we rank high positively in many aspects of mankind and humanity. Mila na desturi zimebaki kwenye damu.

    Uko ughaibuni gani?

    ReplyDelete
  16. Duh! kumbe akili za huyo mdau wa ughaibuni ni sawa tu na zetu huku uswahilini..
    Utumbo tu kwa kwenda mbele... hahaa

    ReplyDelete
  17. Nadhani linamhusu Mtanzania wa Ughaibuni alochanganywa na maisha.

    Poleni mlioko Ughaibuni maana wengi mnalia kilio kama cha huyo mwenzenu.

    Ni stress tu hizo. wote mtakuwa hivo hivo ila mnawaona wenzenu tu na nyie ni mule mule

    ReplyDelete
  18. We ulouliza "what's your point?" inaonekana elimu yako ni ya kiTanzania hasa: Kila kitu hadi utafuniwe. Can't you see the guy's point there?

    ReplyDelete
  19. Huyo Mdau wa Ugahaibuni ni mbeba mabox aliyechanganyikiwa.

    Hana lolote!

    ReplyDelete
  20. Na hilo ni neno,,,ila mwandishi amemkusudia mtu ni vile hajamtaja!

    ReplyDelete
  21. 10000000000000000000% trueeeeeeeeeeeeee

    ReplyDelete

  22. NO ONE IS PERFECT IN THIS IMPERFECT WORLD, EVEN THE PLANET EARTH IS NOT PERFECT ROUND AS WE BELIEVE, IT IS OVAL!

    SO, Tell us who is perfect???

    "Nani kama mTanzania? Hakuna"...what's this rubbish?

    All mankind applies to this Mickey mouse poem.

    ReplyDelete
  23. Nakubaliana na mdau anayesema maneno kama haya si ya mdau kutoka ughaibuni kwa sababu mimi naishi ughaibuni ambako kuna watu mbalimbali kutoka nchi tofauti za kiafrika na kunapokuwa na ishu muhimu watanzania tunakuwa chaguo la kwanza katika kushirikishwa kwa sababu wanatuamini kwa mambo kibao. Tatizo letu kubwa ni kutojali muda.

    ReplyDelete
  24. Ninachowapendea wabongo ni KUMPA VIDONGE mpuuzi yoyote anayeleta post za KUCHAFUA HALI YA HEWA kwenye Blog ya Michuzi.
    GET A LIFE GIRL

    ReplyDelete
  25. Nyokooooooooooooo!

    ReplyDelete
  26. anaesema huyo ni mwanamke ni taahira kabisa... kwani umeona wanawake ndio wanaandika upuuzi? acha dharau na mfumo dume dume wako

    ReplyDelete
  27. MBONA MAJUNGU RUSHWA UVIVU NA UZEMBE HUJATIA HUMU MJOMBAAAAA. BONGOLALAAA HII ND'O MAANA WATU WAJISOMBEA MABILIONI, KILA MTU MSANII BONGO, KILA MTU MUCH KNOW "KITU KIDOGO" MBELE KULIKO KUJALI HUDUMA AU KAZI ALIOMBA. SERVING THE PUBLIC.

    ReplyDelete
  28. Haya jamani huyu mtoa mada yuko UK, na ananuka choo namna hii je ? angebaki bongo ? angepanda daladala ya nani ??? wachache waliobaki huku kama huyu ,ndo hao wanaoturudisha nyuma kila siku,itabidi tuwape hizo dola 10 10 za kulipia uwanja wa ndege waje huko mjumuike nao.Zebedayo msema kweli

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...