
Kwa mawasiliano: 0715-449955/ 0713-444432
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Bei ya kuanzia muuzaji mbona biashara zetu za kitanzania zina usumbufu sana weka bei ili mtu apate kujuwa uwezo wake bila kuanza usumbufu wa kupiga simu.
ReplyDeleteWewe unauza nyumba au vyumba na vitu vya ndani?mbona hujaionyesha hiyo nyumba?badala yake unaonyesha makochi,vitanda,frige gari n.k.Piga picha ya nyumba tuione,alaaah!
ReplyDeleteMHINA
nyumba haina madirisha!
ReplyDeleteMtu anauza nyumba anaonyesha fridge,makochi nk utafikiri anatangaza biashara ya guest house!! Suala la vitu vya ndani atakayenunua ataamua aweke nini ndani, mtu anaweza kuamua ageuze shule ya chekechea sasa hivyo vitu vitamhamasishaje. Piga picha nyumba yako pande zote nne za nje, ikiwezekana hata juu( plan elevation) , mazingira yanayoizunguka yapige picha, halafu ndio uingie ndani, tuonyeshe ulivyoifanyia finishing na sio furnishing.
ReplyDeletemilioni 500 cash.
ReplyDeleteANKALI NAKUPA USHAURI WA BURE KAKA ANGALIA MATANGAZO MENGINE HAYANA KICHWA WALA MIGUU USIWEKE
ReplyDeleteUNAPOTEZA MUDA WAKO NA NAFASI YA BLOG KWA KUWEKA MATANGAZO HAYAELEWEKI MTU ANAUZA NYUMBA HATA BEI YA KUANZIA HAWEKI
NYUMBA HAINA PICHA ZA MBELE KIUMAKINI
HIZO NAMBA ALIZOWEKA TUKIPIGA HAZIPOKELEWI
ONGEA NA MWENYE TANGAZO MWAMBIE ASIKUCHEZEE KALETA TANGAZO NA SIMU HAPOKEI AU ANATAKA KUONYESHA HILO FRIJI LAKE LA MCHINA?