Nyumba hii iko Magomeni Usalama  (Magomeni Police Station) katika barabara ya Morogoro road  nyuma ya kituo cha mabasi. Iko katika hali nzuri na mtaa ulio na usalama (Minaki street). Ina vyumba viwili vya kawaida na master bedroom 1, ina sebule kubwa mbili ina vyoo na bafu mbili za public,ina jiko kubwa la ndani pamoja na store yake, jiko la nje na sim tank la lita 1000, maji ya Dawasco, umeme wa luku na ina hati. Iko kwenye fence na ina gate pamoja na parking kubwa ndani ya magari 5.   

Kwa mawasiliano: 0715-449955/ 0713-444432

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Bei ya kuanzia muuzaji mbona biashara zetu za kitanzania zina usumbufu sana weka bei ili mtu apate kujuwa uwezo wake bila kuanza usumbufu wa kupiga simu.

    ReplyDelete
  2. Wewe unauza nyumba au vyumba na vitu vya ndani?mbona hujaionyesha hiyo nyumba?badala yake unaonyesha makochi,vitanda,frige gari n.k.Piga picha ya nyumba tuione,alaaah!

    MHINA

    ReplyDelete
  3. nyumba haina madirisha!

    ReplyDelete
  4. Mtu anauza nyumba anaonyesha fridge,makochi nk utafikiri anatangaza biashara ya guest house!! Suala la vitu vya ndani atakayenunua ataamua aweke nini ndani, mtu anaweza kuamua ageuze shule ya chekechea sasa hivyo vitu vitamhamasishaje. Piga picha nyumba yako pande zote nne za nje, ikiwezekana hata juu( plan elevation) , mazingira yanayoizunguka yapige picha, halafu ndio uingie ndani, tuonyeshe ulivyoifanyia finishing na sio furnishing.

    ReplyDelete
  5. milioni 500 cash.

    ReplyDelete
  6. ANKALI NAKUPA USHAURI WA BURE KAKA ANGALIA MATANGAZO MENGINE HAYANA KICHWA WALA MIGUU USIWEKE

    UNAPOTEZA MUDA WAKO NA NAFASI YA BLOG KWA KUWEKA MATANGAZO HAYAELEWEKI MTU ANAUZA NYUMBA HATA BEI YA KUANZIA HAWEKI

    NYUMBA HAINA PICHA ZA MBELE KIUMAKINI

    HIZO NAMBA ALIZOWEKA TUKIPIGA HAZIPOKELEWI

    ONGEA NA MWENYE TANGAZO MWAMBIE ASIKUCHEZEE KALETA TANGAZO NA SIMU HAPOKEI AU ANATAKA KUONYESHA HILO FRIJI LAKE LA MCHINA?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...