Makarani wa sensa (wawili katikati) wakijaza madodoso ya Sensa kwenye mtaa wa Ndaku kata ya Chamwino Manispaa ya Dodoma kama walivyokutwa na mpiga picha wetu.
 karani wa Sensa (kushoto) akichukua taarifa kutoka kwa mama mmoja na watoto wake  kwenye Mtaa wa Ndaku Kata ya Chamwino Manispaa ya Dodoma

Makarani wa Sensa wakipita kwenye moja ya mitaa waliyopangiwa kuhesabu na kuchukua taarifa katika Manispaa ya Dodoma leo hii.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Penzi kitovu cha Uzembe. Mnamkumbuka Ngoswe?

    ReplyDelete
  2. Safi sana watoto ulizieni kama mumesha hesabiwa na kuandikwa majina yenu kwa ufasaha. Good I like that.

    ReplyDelete
  3. Sare za hao makarani ni zipi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...