Makarani wa sensa (wawili katikati) wakijaza madodoso ya Sensa kwenye mtaa wa Ndaku kata ya Chamwino Manispaa ya Dodoma kama walivyokutwa na mpiga picha wetu.
karani wa Sensa (kushoto) akichukua taarifa kutoka kwa mama mmoja na watoto wake kwenye Mtaa wa Ndaku Kata ya Chamwino Manispaa ya Dodoma
Makarani wa Sensa wakipita kwenye moja ya mitaa waliyopangiwa kuhesabu na kuchukua taarifa katika Manispaa ya Dodoma leo hii.
Penzi kitovu cha Uzembe. Mnamkumbuka Ngoswe?
ReplyDeleteSafi sana watoto ulizieni kama mumesha hesabiwa na kuandikwa majina yenu kwa ufasaha. Good I like that.
ReplyDeleteSare za hao makarani ni zipi?
ReplyDelete