Home
Unlabelled
ukishangaa ya mussa...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
utitusanif michuzi mimi kiswahili nakijua ile mbaya tena napitia sana katika blog yako unatuambia kwamba wagana tuna chimba dawa ovyo wacha hizo mkuu kututusi,tumeendelea zaidi yenu mkuuu tusifiye hilo hao ulio wapiga picha nadhani ni walevi au ni watanzania wakuja ndo wanafanya hivyo
ReplyDeletemdau mganna masaki dar
KWA HILI SIJUI WAAFRICA TUMELOGWA. NCHI NYINGI ZA AFRICA WATU WANAJISADIA POPOTE BILA KUJALI MADHARA YA KIAFYA. LAKINI WAKIUGUA WANAKWENDA KWA WAGANDA KUTAFUTA MCHAWI. FULL WENDAWAZIMU
ReplyDeleteNa siku hizi wamejaa dar wasituletee tabia yao chafu tuu
ReplyDeleteHii kali! Hata sisi tunachimba dawa lakini angalao tunajificha kidogo.
ReplyDeleteHiyo itakua ni kaskazini mwa africa kaka,magharibi ni northern sahara. samahani kwa kukumbushana.
ReplyDeletewabongo ndo worse....yaani unapita mtaani unakutana na ding'a la nguvu
ReplyDeleteKuhusu kuchimba dawa nakubali kaka!
ReplyDeleteHawana vyoo hawa hata mahali Kama airport!
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni naona ni wasafi hakuna makaratasi yaliyozagaa hovyo kama huku kwetu
ReplyDeleteNafuu wakojoe ila mitaa misafi.kwa kweli bongo tuko wachafu mno.kun baadhi ya maeneo yatoa harufu kali sana mpaka basi
ReplyDeleteLakini kabla ya kunena lolote juu ya hilo, tungejiuliza kwanza, endapo mtu na akili zake timamu, kweli angeweza kufanya hivyo hadharani? Yawezekana wana matatizo ya 'bladder' na hawawezi ku-hold mpaka hapo watakapokwenda kukivumbuwa choo au hapo panapostahili kufanya hivyo. Vile vile waweza kuwa ni walevi au 'majununi' ambao kwao aibu haipo, mradi wamekidhi haja yao.
ReplyDeleteHii noma ankal, tunataka kuona mademu na chupi zao wakichuchumia. Je, uliwaona wangapi barabarani?
ReplyDeleteJamani mimi ni mtanzania ninaye ishi UK, ukweli juzi juzi tu nilikuwa Ghana baada ya kutokea mjini Dar es salaam, ukweli sio siri Ghana wametushinda sana kwa mbali kwa kila kitu. Uchumi, maendeleo, Elimu, Afya nikimanisha hospitals, majengo na wako well orgarnized. Viongozi wao walikuja kufanya kazi sio kula pesa za wananchi, madini ,mafuta na vinginevyo vyote vinafanya kazi . USEMI WANGU NI KWAMBA GHANA WAMETUSHINDA MIAKA MIA MOJA MBELE
ReplyDeletemdau london ,JACKSON ex Mabibo boy
Ghana oyee, maendeleo hoyee rahisi kufanya biashara na they are vert open society
ReplyDeletehao wanakula hadi nyani.sembuse kukojoa barabarani.wala gahna sio pazuri kuzidi dar,wameendelea tu kwenye mambo ya utamaduni lakini mengine ovyo kabisa
ReplyDeleteKuchimba dawa sote tunachimba hovyo, kujificha au kutojificha sio hoja. Ila kwa kweli Accra yaonekana kuwa safi kuliko Bongo, tuwe wakweli,itatusaidia sie wenyewe. Kwa nini tufanye propaganda za kujidanganya wakati mambo yapo wazi kabisa?
ReplyDeletekibaya zaidi, utakuta jamaa kama huyu hajaoga wiki nzima. Mshikaji ukipita anakusalimia kwa kukupa mkono ule ule aliyoshikia dude lake. Waafrika bwana sijuwi tutakuwa lini. Najuliza, hivi sisi ni wendawazimu ama?
ReplyDeleteHawatupi makaratasi hovyo ila wanatupa HAJA hovyo! Hata waEthiopia zao sana haswa maeneo ya MARIKATO. Bha whunet!!
ReplyDeleteHata sisi Bongo tunakojoa ovyo. Kuna sehemu nyingi ukipita Dar unakumbana na harufu kali ya mkojo. Hivi wale wamachinga na wachuuzi wengine pale Kariakoo na Manzese wanajisaidia wapi wakati hakuna vyoo vya umma?
ReplyDeleteHamna makaratasi au uchafu barabarani kwa sbb ya usafi kwaajili ya ugeni wa msiba wao anony wa Thu Aug 09, 11:13:00 PM 2012, hiyo ni tabia yetu waafrika hata tusiwatetee. Ustaarabu Ulaya tena Magharibi
ReplyDeleteKatika nchi zinazoongoza kwa usafi na ustaaaarabu duniani ni Vienna, Austria. Mashallah, sijui tutafika lini!
ReplyDeleteMwafrika ni yule yule, hakuna cha mghana, muethiopia wala mtanzania. Akili zao sawasawa!
ReplyDelete