Home
Unlabelled
Wadau wa lugha Mnasemaje na hii tafsiri?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mbona imetulia kwa sana? ni MEN at WORK na hakuna lugha gongaqna hapo!
ReplyDeleteHiyo lugha imekaa vizuri tu,usiwe na wasiwasi,ukweli ni kwamba neno "MEN"linatumika kotekote, Men kama wanaume na Men kama watu.
ReplyDeletekwahiyo hapo imekaa vizuri narudia tena usiwe na wasiwasi.
Kwani ina kosa gani?
ReplyDeleteNi tafsiri ya moja kwa moja - si nzuri sana.
ReplyDeleteHAPO KISWAHILI NDIO WAMEGONGANISHA VIBAYA. WATU KAZINI JE TUMELAZIMISHWA KWENDA KAZINI? AU WATU NI JINA LA MTU NA HUYO MTU MWENYE JINA LA WATU KAZINI KAMA UZINIFU? AMEZINI?
ReplyDelete..ilitakiwa kusema 'wanaume kazini', maana watu kazi, inajumlisha kila mtu, ikiwemo na watoto, akina mama, bibi, babu, n.k ambayo siyo sahihi!
ReplyDeleteUsitake kuleta siasa zako za u'feminism' hapa. Hiyo tafsiri haina tatizo lolote. Halafu mara utaanza kuguza maneno kama huMANity, chairMAN na kadhalika. Kuna wenzako waliwahi kuhoji eti kwa nini tafsiri ya vitabu vitakatifu vinapomtaja Mungu hutumia pronoun 'He' na sio 'She' au vinginevyo!
ReplyDeletembona sawa tu au ulitaka aseme wanaume kazini.hakuna shida hapo.tehe...
ReplyDeleteiko sahihi kabisa
ReplyDeleteKungekuwa na kielelzo kuonyesha watu wanaofanya kazi ili kueleweka zaidi
ReplyDeleteHapo hakuna tatizo kaka, MEN or MAN inamaana nyingi depend na contents. Inaweza maanisha FELLOW, HUMAN BEING, PEOPLE, MANKIND, FOLK, PERSON, HUSBAND OR AN ADULT HUMAN MALE.
ReplyDeleteKwa hiyo jamaa hajakosea, inaonekana anamaanisha PEOPLE, FOLK OR HUMAN BEING.
hajakosea wewe ndie upunguze moshi ili uelewe kilichoandikwa hapo
ReplyDeleteWatu kazini=People at work.
ReplyDeleteMen at work=Wanaume kazini.
Tehtehteh kazi tunayo!
Hata hivyo wamatumbi na hata watasha kila mtu akisoma anaelewa!
Ujumbe umefika tusonge mbele ati.
The subject matter ni maana iliyokusudiwa na siyo the way ilivyoandikwa, cha muhimu ujumbe umefika! WATU KAZINI hakuna kuremba, chapa kazi tu!
ReplyDeleteHujawahi kusikia native speakers wanawake hasa vijana wanatumia man kama fellow or buddy,e.g c'mon man let's go hapo ni mwanamke kwa mwanamke,yaani hata kama hiyo kampuni ingekuwa ya wanawake tupu wangeandika hivyo hivyo,maana nyingine inamaanisha kazi ngumu,ukiandika WOMEN AT WORK inaonekana kama laini kama kuchuma mboga
ReplyDelete