Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. Mbona imetulia kwa sana? ni MEN at WORK na hakuna lugha gongaqna hapo!

    ReplyDelete
  2. Hiyo lugha imekaa vizuri tu,usiwe na wasiwasi,ukweli ni kwamba neno "MEN"linatumika kotekote, Men kama wanaume na Men kama watu.

    kwahiyo hapo imekaa vizuri narudia tena usiwe na wasiwasi.

    ReplyDelete
  3. Kwani ina kosa gani?

    ReplyDelete
  4. Ni tafsiri ya moja kwa moja - si nzuri sana.

    ReplyDelete
  5. HAPO KISWAHILI NDIO WAMEGONGANISHA VIBAYA. WATU KAZINI JE TUMELAZIMISHWA KWENDA KAZINI? AU WATU NI JINA LA MTU NA HUYO MTU MWENYE JINA LA WATU KAZINI KAMA UZINIFU? AMEZINI?

    ReplyDelete
  6. ..ilitakiwa kusema 'wanaume kazini', maana watu kazi, inajumlisha kila mtu, ikiwemo na watoto, akina mama, bibi, babu, n.k ambayo siyo sahihi!

    ReplyDelete
  7. Usitake kuleta siasa zako za u'feminism' hapa. Hiyo tafsiri haina tatizo lolote. Halafu mara utaanza kuguza maneno kama huMANity, chairMAN na kadhalika. Kuna wenzako waliwahi kuhoji eti kwa nini tafsiri ya vitabu vitakatifu vinapomtaja Mungu hutumia pronoun 'He' na sio 'She' au vinginevyo!

    ReplyDelete
  8. mbona sawa tu au ulitaka aseme wanaume kazini.hakuna shida hapo.tehe...

    ReplyDelete
  9. iko sahihi kabisa

    ReplyDelete
  10. Kungekuwa na kielelzo kuonyesha watu wanaofanya kazi ili kueleweka zaidi

    ReplyDelete
  11. Hapo hakuna tatizo kaka, MEN or MAN inamaana nyingi depend na contents. Inaweza maanisha FELLOW, HUMAN BEING, PEOPLE, MANKIND, FOLK, PERSON, HUSBAND OR AN ADULT HUMAN MALE.

    Kwa hiyo jamaa hajakosea, inaonekana anamaanisha PEOPLE, FOLK OR HUMAN BEING.

    ReplyDelete
  12. hajakosea wewe ndie upunguze moshi ili uelewe kilichoandikwa hapo

    ReplyDelete
  13. Watu kazini=People at work.
    Men at work=Wanaume kazini.
    Tehtehteh kazi tunayo!
    Hata hivyo wamatumbi na hata watasha kila mtu akisoma anaelewa!
    Ujumbe umefika tusonge mbele ati.

    ReplyDelete
  14. The subject matter ni maana iliyokusudiwa na siyo the way ilivyoandikwa, cha muhimu ujumbe umefika! WATU KAZINI hakuna kuremba, chapa kazi tu!

    ReplyDelete
  15. Hujawahi kusikia native speakers wanawake hasa vijana wanatumia man kama fellow or buddy,e.g c'mon man let's go hapo ni mwanamke kwa mwanamke,yaani hata kama hiyo kampuni ingekuwa ya wanawake tupu wangeandika hivyo hivyo,maana nyingine inamaanisha kazi ngumu,ukiandika WOMEN AT WORK inaonekana kama laini kama kuchuma mboga

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...