Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Dkt Fennela Mukangara akihutubia Mkutano wa Idara ya Huduma za wanawake ya Kanisa la Kiadventista Kanda ya Mashariki wakati wa Ufunguzi wa Semina ya umoja wa wanawake wajasiliamali wa kanisa hilo ulioanza leo jijini Dar es salaam.Semina hiyo itamalizika tarehe 9/9/2012. (Picha na Benjamin Sawe wa WHVUM).
Baadhi ya akinamama wa wa Idara ya Huduma za Wanawake wa Kanisa la Kiadventista Kanda ya Masharika wakimsikiliza Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Dkt. Fennela Mukangara wakati wa uzinduzi wa semina ya siku tatu ya umoja wa wanawake wajasiriamali wa kanisa hilo.(Picha na Benjamin Sawe wa WHVUM).
AWWW kina mama oyeee!!!!!!!! Wasabato Oyeeee mmependeza kweli kweli full kushine bila ma bling bling wanawake originali.
ReplyDeleteNawapenda kina mama na kina dada