Kutakua na mkutano wa ufunguzi wa shina la CCM Leicester, Tawi la UK.

Katika  mkutano huo vile vile kutakua na uandikishaji kwa wanachama wapya na pia uchaguzi wa viongozi wa shina.

Viongozi Wapya wa TAWI, CCM UK pia watakuwepo
Wote mnakaribishwa Mkutano utafanyika siku ya Jumapili Tarehe 09.09.2012 kuanzia saa sita mchana ambapo chakula cha mchana na vinywaji Vitapatikana.


Mkutano utafanyika:

UNIT 6
FIRST FLOOR
KOCHA HOUSE
MALABAR ROAD
LEICESTER
LE1 2PD.


Kwa mawasiliano zaidi unaweza kuwasiliana na: 
Moses Kusamba, Kupitia namba zifuatazo.
07405272879/ 07903621150.   
ABRAHAM SANGIWA
Naibu Katibu Siasa na Uenezi
Chama Cha Mapinduzi Tawi la Uingereza 

Imetolewa na Idara ya Siasa na Uenezi, Tawi la CCM ,Uingereza.

Tarehe : 07 September 2012.





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. sema msiogope sema sisi vijana hatubabaishwi na wapinzani sema.

    Jamani mtuleteeni na mashati ya kijani/tshirt.

    CCM OyEEEEEEEEEEEEE!!!!

    Rashid Mabehezi
    Leicester.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...