Aliyekuwa diwani wa Chadema wa kata ya Elerai Mkoani Arusha John Bayo akitambulishwa na Profesa Lipumba mara baada ya kujiunga na Chama Cha Wananchi CUF kwenye mkutano uliofanyika Mkoani Arusha jana, ambapo Chama hicho kinaendelea na kampeniyake ya Dira ya mabadiliko.
Mwenyekiti wa CUF Prof. Ibrahim Lipumba akiwa kwenye mkutano huo jijini Arusha jana.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Sasa nguvu zote zinaelekezwa kuibomoa Chadema, Kaaazi kweli kweli

    ReplyDelete
  2. For this case, I would advise opposition parties to establish a common enemy to which all bullet firing could be directed,insteady of turning fire to each other, that's not victory Professor I would say in real sense. work in cooperation to take out the ruling part not the other opposition part, otherwise you guys will be matching marktime in years to come.

    ReplyDelete
  3. chadema kwishney...

    ReplyDelete
  4. Chadema inazidi kuzama kaburini, tukifikia Uchaguzi 2015 itakuwa ipo kitambooo huko JEHANAMU !

    ReplyDelete
  5. Chadema kwa kuwa ni Chama cha Kirkisto Mungu anakiumbua, ndio hicho kila kukicha mbende mbende kinavunjika.

    Sasa je kati ya CUF na CHADEMA Chama cha Kidini ni kipi?

    Chadema mnaweza kumpa Mwislamu tena huko Arusha madaraka kama alivyoyapata huyo Mkristo aliyeingia ndani ya CUF ?

    ReplyDelete
  6. Hawa jamaa wa Chadema wamezoea magazeti yao ya Mwananchi,Nipashe,Majira na la kwao Tanzania Daima kuwabeba sasa uhalisia wa habari wa chama kingine ikonenekana wanaanza visa. Wamezoea kuona Slaa,Mbowe,Lymo wakijamba tu magazeti haya hupublish kurasa yote ya mbele. Hakuna mwenye hati miliki ya Arusha tuwaache watu wa Arusha watumie demokrasia yao

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...