Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. HAHAHAHAHAHAHAAAAA MPANGALA HII NIMEIPENDA,HIZI TAA ZINGEKUWA MOROCO AU DARAJA LA SALENDER,ZINGEKUWA ZINAFANYA KAZI VIZURI,LAKINI KWA KUWA ZIKO KILWA ROAD KUELEKEA MALAWI KWENYE MGOGORO WA MIPAKA,WAKUBWA WOTE HAWAPITI HUKO LABDA WAZIRI MEMBE KAMA ATAAMUA KUTUMIA USAFIRI WA GARI KWENDA MPAKANI ATATUONA ATUPELEKEE SALAMU KWA MJOMBA.MAMA SALIMA HUWA ANAPITAPITA PALE KWENDA SHAMBA ,MMMH LAKINI VIJANA WA SAID MWEMA HUWA WAMESAFISHA NJIA ,ATAONA NINI? NATAMANI SIKU MOJA MAMA SALIMA APATE PANCHA HAPO KWENYE MATAA ILI AZIONE HIZO TAA,NAFIKIRI ATATUSEMEA KWA MZEE NASI WA MBAGALA TUKUMBUKWE.MICHUZI ITOE HII BILA KUMUMUNYA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...