Wageni kutoka nchi mbalimbali za kigeni wakiangalia na kupewa maelezo ya ramani ya Hifadhi ya Ngorongoro wakati walipowasili katika geti kuu la hifadhi hiyo kabla ya kuingia kujionea vivutio mbali mbali.
wageni wakichagua vitu vya kimasai mara baada ya kufika katika eneo la maonyesho la Laetoli lililopo ndani ya hifadhi ya Ngorongoro ambapo inasemeka na fuvu la binadamu wa kwanza ndo liligunduliak hapo.
kikundi cha ngoma cha kimasai kilichopo ndani ya hifadhi ya ngorongoro kikiwa kinatumbuiza wakaati wageni hao walivyowatembelea hifadhini hapo.Picha na Woinde Shizza wa Globu ya Jamii,Arusha.






HAYA TENA "ALMASI" ANGALIA WATALII WALIVYO VAA, SIYO WEWE UKACHEMSHA, USHAMBA UGONJWA.
ReplyDeleteDu bado mnae tu? na sijui kama ujumbe umemfikia?
ReplyDeleteMambo ni ya kwetu..Mungu ametujalia ila bado tu tunakuja kufundishwa na watu kutoka nje! kweli 'penye miti hakuna wajenzi'.Tupende vya kwetu kwanza wadau na kubuni mbinu sahihi za kuendeleza vivutio vyetu halafu tunaweza kuiga mema ya wenzetu lakini ambayo hayavurugi utamaduni wetu na desturi zetu kama wa Afrika na wa Tanzania. Sisi nchi yetu ni matajiri hakuna mfano.Mimi nakipato changu cha chini kidogo nimejitahidi kujiwekea akiba kidogo inapowezekana kwa utalii wa ndani, tayari nina kumbukumbu za kutembelea vivutio kama vitatu mpaka sasa na kimoja ambacho kipo kule kwetu T.a Mungu anipe uzima niweze kutimiza malengo mengine ya kuona maajabu yake hapa Tanzania.Tuamke waTanzania uzuri wa nchi yetu tutautangaza sisi wenyewe kwanza bila sisi hakuna Tanzania!
ReplyDeleteHAYO YA 'ALMASI' NAFIKIRI HANA MENEJA MZURI ANAYEONA MBALI..WOTE TUNAJIFUNZA NAHISI AMEJIFUNZA.
Mungu ibariki Afrika..Mungu ibariki Tanzania.
Papa G