Wageni kutoka nchi mbalimbali za kigeni wakiangalia na kupewa maelezo ya ramani ya Hifadhi ya Ngorongoro wakati walipowasili katika geti kuu la hifadhi hiyo kabla ya kuingia kujionea vivutio mbali mbali.
wageni wakichagua vitu vya kimasai mara baada ya kufika katika eneo la maonyesho la Laetoli lililopo ndani ya hifadhi ya Ngorongoro ambapo inasemeka na fuvu la binadamu wa kwanza ndo liligunduliak hapo.
kikundi cha ngoma cha kimasai kilichopo ndani ya hifadhi ya ngorongoro kikiwa kinatumbuiza wakaati wageni hao walivyowatembelea hifadhini hapo.Picha na Woinde Shizza wa Globu ya Jamii,Arusha.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. HAYA TENA "ALMASI" ANGALIA WATALII WALIVYO VAA, SIYO WEWE UKACHEMSHA, USHAMBA UGONJWA.

    ReplyDelete
  2. Du bado mnae tu? na sijui kama ujumbe umemfikia?

    ReplyDelete
  3. Mambo ni ya kwetu..Mungu ametujalia ila bado tu tunakuja kufundishwa na watu kutoka nje! kweli 'penye miti hakuna wajenzi'.Tupende vya kwetu kwanza wadau na kubuni mbinu sahihi za kuendeleza vivutio vyetu halafu tunaweza kuiga mema ya wenzetu lakini ambayo hayavurugi utamaduni wetu na desturi zetu kama wa Afrika na wa Tanzania. Sisi nchi yetu ni matajiri hakuna mfano.Mimi nakipato changu cha chini kidogo nimejitahidi kujiwekea akiba kidogo inapowezekana kwa utalii wa ndani, tayari nina kumbukumbu za kutembelea vivutio kama vitatu mpaka sasa na kimoja ambacho kipo kule kwetu T.a Mungu anipe uzima niweze kutimiza malengo mengine ya kuona maajabu yake hapa Tanzania.Tuamke waTanzania uzuri wa nchi yetu tutautangaza sisi wenyewe kwanza bila sisi hakuna Tanzania!
    HAYO YA 'ALMASI' NAFIKIRI HANA MENEJA MZURI ANAYEONA MBALI..WOTE TUNAJIFUNZA NAHISI AMEJIFUNZA.
    Mungu ibariki Afrika..Mungu ibariki Tanzania.

    Papa G

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...