Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Kikwete akipiga kura yake wakati wa uachaguzi wa Mwenyekiti wa CCM taifa katika ukumbi wa Kizota leo jioni.Rais Kikwete amateuliwa kuwa mgombea pekee wa kiti hicho.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na baadhi ya wajumbe wa mkutano Mkuu wa nane katika ukumbi wa Kizota mjini Dodoma leo.
Baadhi ya wajumbe wa mkutano Mkuu wa nane CCM wakishangilia mara baada ya Rais Kikwete kutangazwa kuwa mgombea pekee wa nafasi ya Uenyekiti wa CCM Taifa katika ukumbi wa Kizota leo jioni.picha na FreddyMaro

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...