Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. pengine mwandishi alimaanisha kuwa KATIBU MKUU NISHATI ANATAKIWA AJIUZULU. lakini akakatisha kwa kuandika KATIBU MKUU NISHATI AJIUZULU.amekosea nini?.sijalisoma hilo gazeti kuona maudhui yake kwa undani lakini kwa kichwa cha habari hicho hapo naona hamna tatizo lolote.mwandishi alitoa maoni tu, siunajua magazeti yetu yanakimbilia kuuza zaidi kuliko kuwahabarisha wananchi

    huu ni mtazamo wangu tu

    ReplyDelete
  2. Samahani, na mimi kama msemaji hapo juu nimeelewa ya kwamba gazeti linataka kusema kwamba wanataka Katibu ajiuzulu, na kama aliandika kwa herufi kubwa basi linahamasisha ajiuzulu, labda afanyi kazi vizuri au wizara yake imeoza, KATIBU MKUU NISHATI AJIUZULU. Sijasoma ilo gazeti lakini kufuatana na maelezo ya wizara naona gazeti halina makosa. Naomba wadau wengine mnihelimishe kama nimekosea, samahani lakini.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...