Familia ya bwana na bibi Paul kirigini wa Jijini Dar es salaam wanasikitika kwa kuondokewa na binti yao mpendwa Daniela Paul (pichani) aliefariki jana huko nchini India,alikokwenda kwa matibabu! 

Mwili wa marehemu unatarajiwa kuwasili kesho Novemba 16,2012  kwa Ndege ya shirika la Emerates saa 3;30 alasiri. 

Shughuli za kuuaga mwili wa marehemu Daniela zitafanyika jumamosi nyumbani kwao upanga Mazengo Road kwenye Flats za BOT.

Tunamuombea kwa Mungu aweze kuiweka Roho ya Marehemu Daniela mahala pema peponi.

-Amen

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. R.I.P Daniela, you will be missed. What a tragedy!

    ReplyDelete


  2. i hate when it comes to death mbali na Tanzania.. Poleni sana kwa msiba inasikitisha a such a small kid with a bright future ahead

    ReplyDelete
  3. Rest in Eternal Peace Princess.

    ReplyDelete
  4. Such a beautiful soul , Gone too soon Little Angel, I also lost my daughter in 2010, I know how it feels to lose a lovely and beautiful child like this, the pain will always be fresh and those beautiful memories will NEVER FADE AWAY, May her Soul Rest in eternal peace, Poleni sana sana wazazi na wote Mola awape Subira wakati wote Amin.

    ReplyDelete
  5. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi. Mungu awape subira wazazi wa marehemu katika kipindi hiki kigumu.

    ReplyDelete
  6. Pole sana Paul yote ni mapenzi ya Mungu . Uwe na uvumilivu ktk kipindi hiki kigumu

    ReplyDelete
  7. Nimeumia sana to loose her..She was so happy to be around me one time and I cant believe this precious soul is gone...R.I.P Daniela

    ReplyDelete
  8. Rest In Peace an Angel of God! May the parents be granted peace from above!

    ReplyDelete
  9. Such a beautifull Flower,to have departed so prematurely,how I wish,but God,we are all his creation,each one of us has a fixed date to rejoin him in his eternal garden for everlasting peace!Poleni sana wana familia,ni kipindi kigumu sana cha majonzi makubwa!Mwenyezi Mungu awape subira na uvumilivu wa hali ya juu,tumtakie mwanetu maisha mema na raha ya milele peponi,amina!Kazi ya Mungu haina makosa,amempenda zaidi!Lets all pray in silence for the departed soul(one minute of silence wherever you are,amen!)Tunawapenda sana,tulimpenda zaidi Danniela!RIP.

    ReplyDelete
  10. R.I.P Daniela.My thoughts and prayers are with the family.
    Mtuma habari:Hakuna saa 3:30 alasiri.Kuna Saa 3:30 asubuhi na Saa 3:30 Usiku!!!Au ulikuwa unamaanisha Saa 9:30 Alasiri.Tufahamishe ili tutakaoweza kuja kuupokea mwili tufanye hivyo.

    ReplyDelete
  11. poleni sana familia ya paul kirigini,R.i.P daniela,from matemba charles

    ReplyDelete
  12. POLENI SANA KWA MSIBA, MUNGU AMPUMZISHE DANIELA KWA AMANI.

    ReplyDelete
  13. Poleni sana mr mrs paul kirigini na family yote ya mzee kirigini. mwenyezimungu awape moyo wa subra. amweke mahala pema peponi. Faiza. UK

    ReplyDelete
  14. Sisi waislamu tunaamini Watoto wote wakichukuliwa utotoni hakuna kuulizwa peponi moja Kwa moja. poleni wazazi subira tu .

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...