Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na Rais wa Madagacar,
Andry Rajoelina, wakati amkisindikiza kuelekea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam alipokuwa akiondoka nchini leo Desemba 15, 2012 kurejea nchini kwake baada ya kumaliza ziara ya siku mbili hapa nchini. Kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (kulia) akiagana na Rais wa Madagacar, Andry Rajoelina, wakati alipokuwa akimsindikiza kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam, leo Desemba 15, 2012 kurejea nchini kwake baada ya kumaliza ziara ya siku mbili hapa nchini. Picha na OMR.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...