Waziri wa Mambo ya Nje na Uhusiano ya Kimataifa,Mh Bernard Membe pichani kushoto akiagana na Ofisa Habari wa Clouds Media Group,Simalenga Saimon mapema leo mchana,kwenye viunga vya ofisi hizo zilizopo Mikocheni jijini Dar,Mh Membe alifika kwenye ofisi hizo kwa ajili ya kufanya mahojiano mafupi kuhusiana na mambo mbalimbali yanayoihusu wizara yake sambamba na kuitakia kheri na fanaka kampuni ya Clouds Media Group wakati ikiwa kwenye msimu wa sherehe na shamra shamra zake za kutimiza miaka 13 tangu kuanzishwa kwake.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...