Oslo Norway kwa Watanzania wote wa karibu na hapo Oslo tunawakaribisha kwenye Sherehe ya Uhuru day .

Siku ya J,mossi tarehe 15-Dec-2012 . Tutakuwa na vyakula vya aina mbali mbali na vinywaji ndani ya siku hii.
Pia tunapenda kuwakumbusha hile hamu na tamanio la Music ya kizazi kipya itakuwa ndani ya nyumba. 

                    Mtaharifu au wataharifu na marafiki wote wa karibu, siku hii ni yetu sote.
                     Contact:-+47 47227366 Mohamed Semboje or +47 96872483 Dj Pred a.k.a Mpily.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Come on! Is Oslo in Sweden?

    ReplyDelete
  2. Tanganyika independence not Tanzania.Get it right. Tanganyikans we need our independence from Zanzibarians.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...