Oslo Norway kwa Watanzania wote wa karibu na hapo Oslo tunawakaribisha kwenye Sherehe ya Uhuru day .
Siku ya J,mossi tarehe 15-Dec-2012 . Tutakuwa na vyakula vya aina mbali mbali na vinywaji ndani ya siku hii.
Pia tunapenda kuwakumbusha hile hamu na tamanio la Music ya kizazi kipya itakuwa ndani ya nyumba.
Mtaharifu au wataharifu na marafiki wote wa karibu, siku hii ni yetu sote.
Contact:-+47 47227366 Mohamed Semboje or +47 96872483 Dj Pred a.k.a Mpily.
Come on! Is Oslo in Sweden?
ReplyDeleteTanganyika independence not Tanzania.Get it right. Tanganyikans we need our independence from Zanzibarians.
ReplyDelete