Mwanamke mmoja wa nchini Brazili amefikishwa mahakamani kufuatia jaribio lake la kumuua mumewe kwa kuweka sumu kwenye Mashimo ya Mfalme Suleiman  na kisha kumtaka mumewe 'apige deki'  sehemu hizo  kabla hawajafanya tendo la ndoa.


Mume wa mwanamke mwenye umri wa miaka 43 mkazi wa mji wa Sao Jose do Rio Preto nchini Brazili aliamua kumfikisha mahakamani mkewe baada ya kunusurika jaribio la kuuliwa kwa sumu iliyowekwa kwenye Mashimo hayo ya Mfalme Suleiman.

Taarifa zilisema kuwa mwanamke huyo ambaye jina lake limewekwa kapuni, alipakaza sumu kwenye mashimo hayo ya mfalme Suleimn  na kisha kumhadaa mumewe wafanye mapenzi.

Mwanamke huyo ili kukamilisha azma yake ya kumuua mumewe alimtaka mumewe ayarambe rambe mashimo hayo  kabla hawajaanza tendo la ndoa.

Lakini mumewe akiwa kwenye jaribio la kukamilisha ombi hilo la mkewe alishtuka kusikia harufu ya ajabu ikitokea kwenye Mashimo ya Mfalme Suleiman.

Alikatisha zoezi hilo na kumchukua mkewe na kumpeleka hospitali ambapo madaktari walimfanyia vipimo na kugundua kuwa mkewe alijipakaza vitu vyenye sumu kali kwenye mashimo hayo.

Mume wa mwanamke huyo amemfungulia kesi mkewe mahakamani kufuatia jaribio lake hilo la kumuua.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Uncleeeeeee, sasa nimekuaminia kwa kweli, umetumia tafsida ya ukweli. Mashimo ya Suleiman.. imenichukua muda kiasi kujua lakini kilichonisaidia kujua ni hiyo sentensi kuwa jamaa alishtuka na kumpeleka mkewe hospitali kupimwa. hahahah mbona mashimo ya mfalme Suleiman. hahahahah

    ReplyDelete
  2. Daa!sumu imewekwa pabaya.wajameni muaopenda deki tumieni testa kwanza.

    ReplyDelete
  3. Du! hii kali kazi kwao ma-ticha

    ReplyDelete
  4. Eheeee eheee!!!! haya bwana Mithupu, shimo la Mfalme Suileman!? LOL! sina mbavu. Hatari lakini salama.

    ReplyDelete
  5. Hii Kali! Mungu azinusuru roho zetu!

    ReplyDelete
  6. Audhubillah
    Miye mpaka leo sijawahi kusikia mtu kuita mashimo ya Mfalme Suleiman sehemu hizo.Tulipokuwa watoto twakiita nyau. Jambo la kushangaza ni kwamba nilielewa mara moja mtu asema nini hapo juu.Hii ni moja ya uzuri wa lugha ya kiswahili.Huyo jamaa aliyeambiwa apige deki, bila shaka ana tabia mbovu sana.Aib. Mtu huwezi kuambiwa usonge ugali kwa kijiko.Kisha waweza kuwa kibogoyo kwa tabia hiyo.

    ReplyDelete
  7. Ee mungu tusaidie haya yasiigwe bongo maana hali itakuwa mbaya jamani

    ReplyDelete
  8. JAMANI MIMI SIJAELEWA SOMO MPAKA HAPO NAOMBA MNIELEWESHE.MDAU KAPERA

    ReplyDelete

  9. MIMI ANGENIPATA!!! HIYO SUMU NINGEFIKIRI KACHUMBARI

    MAANA MIMI BILA IYO NAONA BADO!
    : )

    ReplyDelete
  10. Jamani bila hiyo mimi sijisikii! :) lazima deki kwanza! Maana labda wanaume hamuelewi utamu wa deki ...

    ReplyDelete
  11. Uhhh

    Hiyo ingekuwa Bongo wangekufa wengi!

    Pana Kijana mmoja Kinyozi wa Salon moja hapa Dar nilimsikia akidai yeye HUANDAA MAJI YA KUSAFISHA MAZINGIRA HUSIKA KWA MAANDALIZI KABLA YA DEKI.

    Alidai yeye humwelekeza muhusika kutumia NDOO NZIMA YA MAJI ya Lita 20 kusafisha sakafu ya Mashimo.

    Labda yeye pekee angenusurika na kifo!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...