Mwanamke mmoja wa nchini Brazili amefikishwa mahakamani kufuatia jaribio lake la kumuua mumewe kwa kuweka sumu kwenye Mashimo ya Mfalme Suleiman na kisha kumtaka mumewe 'apige deki' sehemu hizo kabla hawajafanya tendo la ndoa. Taarifa zilisema kuwa mwanamke huyo ambaye jina lake limewekwa kapuni, alipakaza sumu kwenye mashimo hayo ya mfalme Suleimn na kisha kumhadaa mumewe wafanye mapenzi. Mwanamke huyo ili kukamilisha azma yake ya kumuua mumewe alimtaka mumewe ayarambe rambe mashimo hayo kabla hawajaanza tendo la ndoa. Lakini mumewe akiwa kwenye jaribio la kukamilisha ombi hilo la mkewe alishtuka kusikia harufu ya ajabu ikitokea kwenye Mashimo ya Mfalme Suleiman. Alikatisha zoezi hilo na kumchukua mkewe na kumpeleka hospitali ambapo madaktari walimfanyia vipimo na kugundua kuwa mkewe alijipakaza vitu vyenye sumu kali kwenye mashimo hayo. Mume wa mwanamke huyo amemfungulia kesi mkewe mahakamani kufuatia jaribio lake hilo la kumuua. |
Home
Unlabelled
TOBA! WANAUME JIHADHARINI NA DEKI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Uncleeeeeee, sasa nimekuaminia kwa kweli, umetumia tafsida ya ukweli. Mashimo ya Suleiman.. imenichukua muda kiasi kujua lakini kilichonisaidia kujua ni hiyo sentensi kuwa jamaa alishtuka na kumpeleka mkewe hospitali kupimwa. hahahah mbona mashimo ya mfalme Suleiman. hahahahah
ReplyDeleteDaa!sumu imewekwa pabaya.wajameni muaopenda deki tumieni testa kwanza.
ReplyDeleteDu! hii kali kazi kwao ma-ticha
ReplyDeleteEheeee eheee!!!! haya bwana Mithupu, shimo la Mfalme Suileman!? LOL! sina mbavu. Hatari lakini salama.
ReplyDeleteHii Kali! Mungu azinusuru roho zetu!
ReplyDeleteAudhubillah
ReplyDeleteMiye mpaka leo sijawahi kusikia mtu kuita mashimo ya Mfalme Suleiman sehemu hizo.Tulipokuwa watoto twakiita nyau. Jambo la kushangaza ni kwamba nilielewa mara moja mtu asema nini hapo juu.Hii ni moja ya uzuri wa lugha ya kiswahili.Huyo jamaa aliyeambiwa apige deki, bila shaka ana tabia mbovu sana.Aib. Mtu huwezi kuambiwa usonge ugali kwa kijiko.Kisha waweza kuwa kibogoyo kwa tabia hiyo.
Ee mungu tusaidie haya yasiigwe bongo maana hali itakuwa mbaya jamani
ReplyDeleteJAMANI MIMI SIJAELEWA SOMO MPAKA HAPO NAOMBA MNIELEWESHE.MDAU KAPERA
ReplyDelete
ReplyDeleteMIMI ANGENIPATA!!! HIYO SUMU NINGEFIKIRI KACHUMBARI
MAANA MIMI BILA IYO NAONA BADO!
: )
Jamani bila hiyo mimi sijisikii! :) lazima deki kwanza! Maana labda wanaume hamuelewi utamu wa deki ...
ReplyDeleteUhhh
ReplyDeleteHiyo ingekuwa Bongo wangekufa wengi!
Pana Kijana mmoja Kinyozi wa Salon moja hapa Dar nilimsikia akidai yeye HUANDAA MAJI YA KUSAFISHA MAZINGIRA HUSIKA KWA MAANDALIZI KABLA YA DEKI.
Alidai yeye humwelekeza muhusika kutumia NDOO NZIMA YA MAJI ya Lita 20 kusafisha sakafu ya Mashimo.
Labda yeye pekee angenusurika na kifo!