Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Hapa haina haja ya wananchi kuandika barua, kwani mamlaka husika inaona jinsi maji ya mvua hayawezi kupelekwa kunakostahili.Wanaohusika wawajibike waje na suluhisho sahihi.Wawatumie wahandisi wafanye design na ikibidi simulation kabla ya implimentation. Ni kazi rahisi sana.

    ReplyDelete
  2. Nadhani Dar jioni hii patakuwa hapatoshi pia maana mvua inaendelea

    ReplyDelete
  3. Hii ni kitu kimoja ambacho kinanitia huzuni sana, kuona wananchi kukosa heshima ya mazingira yao. Ni jukumu ya kila mmoja kutunza nchi, na kwanza wasingetupa takataka namna hiyo, kisha wataka serikali au mamlaka ya mji kusafisha.Haya ndugu, mvua ikiisha shikeni majembe na mabeleshi na safisha aibu hii.

    ReplyDelete
  4. Tumieni gas....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...