Home
Unlabelled
Adha ya Mvua zinazoendelea kunyesha hivi sasa Mkoani Lindi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hapa haina haja ya wananchi kuandika barua, kwani mamlaka husika inaona jinsi maji ya mvua hayawezi kupelekwa kunakostahili.Wanaohusika wawajibike waje na suluhisho sahihi.Wawatumie wahandisi wafanye design na ikibidi simulation kabla ya implimentation. Ni kazi rahisi sana.
ReplyDeleteNadhani Dar jioni hii patakuwa hapatoshi pia maana mvua inaendelea
ReplyDeleteHii ni kitu kimoja ambacho kinanitia huzuni sana, kuona wananchi kukosa heshima ya mazingira yao. Ni jukumu ya kila mmoja kutunza nchi, na kwanza wasingetupa takataka namna hiyo, kisha wataka serikali au mamlaka ya mji kusafisha.Haya ndugu, mvua ikiisha shikeni majembe na mabeleshi na safisha aibu hii.
ReplyDeleteTumieni gas....
ReplyDelete