FRONT VIEW
FRONT VIEW_2
BACK VIEW WITH WATER RESERVE TANKS
SITTING ROOM
CEILING FANS
CORRIDOR
KITCHEN
PUBLIC TOILET
MASTER TOILET_WASHING BASIN
MASTER TOILET
Nyumba inapangishwa, ipo Tabata Kimanga Uwanja wa Twiga. Ni ya vyumba vitatu, kimoja master, jiko na sebule. Iko sehemu nzuri, barabara nzuri hadi getini na gari inaingia mpaka ndani ya geti. Iko kwenye muinuko, hakuna mafuriko wala maji hayajai kwenye nyumba hata mvua inyeshe kwa masaa 24! Maji ya matumizi ya ndani yapo ya uhakika muda wote, kuna 'reserve water tanks' juu na chini ya nyumba, umeme ni wa uhakika pia. Inapangishwa na fanicha zake kwa bei nafuu. We unakuja na shuka na nguo zako tu.
UNAHITAJI? PIGA SIMU FASTA: +255 0754 290167
I will be in Tanzania for 3 months before I travel back to US,Is it possible to rent it for those 3 months? How much it will cost me? Email me info at juliomes@yahoo.com
ReplyDeletenyumba safi sana hiyo.Mbona bei haijawekwa.
ReplyDeleteIla du hiyo uliyoandika public toilet ni ya kupanua msamba. Miguu huwa inauma ukikaa muda mrefu halafu usimame utaona nyotanyota.
Ni hayo tu
Pimbi
Does a public toilet open to the public? What do you mean by 'public?'
ReplyDeleteNafikiri "public toilet" aliyokusudia ni kwa wageni watakaokuja kumtembelea mpangaji. Mdau anayelalamika kuhusu kupasuka msamba, hicho ni choo cha kiTZ na pia cha Kiislamu. Vyoo vyote vimefata viwango vya kiislam na ni jambo zuri.
ReplyDeleteduh hukuweza weka choo cha kawaida jamani, hiyo inashusha sana thamani ya nyumba na kukimbiza wateja.
ReplyDeleteHuyo mtu hapokei simu wala hajibu text. Sasa kuna haja gani kuweka advertisement wakati huna uwezo wa kurespond!!
ReplyDelete