kwa uendeshaji wa namna hii,ajali zitaisha kweli nchi hii??

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. NEVER EVER!!

    ReplyDelete
  2. RUSHWA NI ADUI WA MAENDELEO?NGEBE, NA JEURI HII NI SABABU YA RUSHWA.KILA SIKU MDAU UNAJITAHIDI KUSOMESHA LAKINI WAPI!WAHUSIKA WANAUPA KISOGO UKWELI NA KUUFUMBIA MACHO NI HATARI SANA.

    ReplyDelete
  3. Hapo kifo,ujane, uyatima unasindikwa kwa kusudi. Ukaidi wa madereva umezidi. Matrafiki ongezeni kiwango cha rushwa ili kuwakomesha wakosaji. Nilipanda daladala la mwananyamala stesheni dereva aliendesha ovyo na kwa kiburi sijui alikuwa anajivunia nini. Hebu viongozi chunguzeni ruti hii.

    ReplyDelete
  4. Na wavunjaji wakubwa wa sheria za usalama barabarani ni magari yenye namba za STK,PT na mengine ya dola, sasa hawa wakivunja sheria wakati yamebeba viongozi wanaotakiwa kusimamia sheria, wananchi wa kawaida tutafanyaje? Inabidi tufuate viongozi wanavyofanya.Kwa kweli kazi tunayo.

    ReplyDelete
  5. Hiyo gari ndogo inayoovateki(sioni namba yake) dereva ashtakiwe kwa kutaka kujiua yeye na wenzake. Kama mtu anaejaribu kujinyonga.

    ReplyDelete
  6. Wavunjaji wakubwa wa Sheria za Barabarani mmesahau wenye magari ya Mikopo, hawa jamaa wanaendesha ovyo sana, hawamalizi vizuri Mafunzo ya Udereva na LENA zao, wana jeuri sio kawaida!

    Unamkuta mtu ameshatoka Yadi na Mkebe wake barabarani utamtaka, hiyo jeuri utafikiri yeye vile ni Bilionea?

    Kumbe mfukoni hana hela ya kutosha na Benki Akaunti yake sio nzuri huku gari lenyewe amekopa!

    ReplyDelete
  7. Sheria msumeno. Huku west hata akawa kigogo ukivunja sheria tu unakipata kwanza mapolisi ndiyo wanafurahi kukuweka katika mtandao.

    Breaking traffic rules also indicate how much level of corruption the police force is, because people know the police will not do anything and they can bribe them. And since police are underpaid they will continue to get bribed and people will continue being killed so that those underpaid police officers can continue to survive. What a cycle! Africa needs a dictator to enforce the rule of law, because this is not happening in Tanzania too. It happens to so many countries in Africa. This Ndugu Ndugu is killing Tanzanians .. You see the driver telling the Police officer ... Ndugu yangu nisamehe bwana wote tuna njaa chukua hii na wewe kaangalie watoto and beer!

    ReplyDelete
  8. Tanzania ni nchi ya kufikirika.hakuna sheria kabisa mi nadhani mfumo wa criminal record uanze na ukaze buti kwenye uendeshaji. mambo mengi yanawezekana ila serikali haina meno ni butu.

    ReplyDelete
  9. I agree with each one above…by far we don't need dictatorship kind of government this may be a bit too far…Ila huku nikujitakia kifo. We obviously need the right copy cuts from the western side of the world. Traffic police need to earn the rightful way through traffic crimes on set prices. Kwahiyo kama huyu driver wa gari nyeupe he/she needs to be fined na akitaka kum-bribe whoever the traffic warden is wamfungee na a toke kwa bail. Whilst on that time he is inside gari iko garage ya police where they are incurring the costs of keeping watch on it. Kwahiyo kijana akitoka kwenye traffic offence take atalipia storage ya gari yake. Wataacha tuuu kwasababuj watakuwa wanawalipa matraffic vizuri on standard rates...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...