Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Rashid,USAApril 08, 2013

    Tukuza kilicho Chako mpaka usahau cha mwenzako.
    Mdharau Kwao ni MTUMWA

    ReplyDelete
  2. Ankal wewe uko kwenye system,ebu tusaidie kupata maelezo/ufafanuzi kutoka Benki kuu ya Tanzania au muhusika yeyote anayetoa vibali kwa haya maduka ya kubadilishia fedha za kigeni .Bahadhi yao wanataka ni wasumbufu na hasa kwenye dola za Kimarekani.Wanakataa bahadhi ya series ya noti za kimarekani(Dola),walianza kuzikataa za mwaka 1999 sasa wamesogea hadi za mwaka 2000-2005,n.Wanataka za kuanzia mwaka 2006 na kuendelea.Niliwauliza wakaniambia "HUKO WANAKOZIPELEKA" zinakatiliwa,wanakwambia peleka benki.Huko wanakozipeleka ni wapi??Mbona tukitoka nazo nje nchi zingine zinakubaliwa?Wadau mnaoishi USA ebu nisaidieni, noti(dola) hizi za mwaka(series) 1999-2005 zina matatizo gani??

    David V

    ReplyDelete
  3. Mdau wa juu Rashid,USA.

    Tumeshikwa pabaya kwa kuwa huwezi kuendesha Uchumi bila DOLLA YA MAREKANI kuwa MHIMILI!

    Labda ili kutukuza kilicho chako na kusahau cha mweznio (US$) ukitaka uanzishe Sarafu yako na uhamie Sayari ingine ukaanze maisha mapya na sio ktk Dunia mabayo Uchumi wa mtaifa yote unapimwa na kuendeshwa kwa kigezo cha Dolla za Marekani!

    ReplyDelete
  4. Hii bei ya Dola siku hadi siku kupanda na kushuka ina kigezo muhimu sana ktk utendaji wa Kiuchumi kuliko kama tunavyo fikiri.

    Gavana wa Benki kuu, sio Waziri wa Fedha hawezi kwa uamuzi wake kuweka kiwango cha mabadilishano kwa kuwa,

    1.Bei ya Dola dhidi ya Shilingi ya TZ inawakilisha Deni la Taifa lililopo kwa siku husika, kwa kuwa mtiririko wa Fedha za Kigeni ikiwemo Dola za Marekani kuingia Benki Kuu na kukaa humo unatokana na KUTUMIA DOLA KUNUNUA BIDHAA NJE(Import) NA KUUZA NJE BIDHAA(Export), pia MIKOPO(Loans),DHAMANA (Treasury Bills, Treasury Bonds), MISAADA(Donor Aid) NA MITAJI(FDI-Foreign Direct Investments) INAYOINGIA.

    2.Fedha za Kigeni mfano (US$) kama Bidhaa zingine (ZIWAPO KTK HIFADHI HUKO BENKI KUU) huheshimu Tabia za Kiuchumi za Demand and Supply, (Mahitaji na Upatikanaji wa Bidhaa ktk Soko) ambacho ndicho KIGEZO KINACHOTOA MABADILIKO YA BEI YA DOLA DHIDI YA SHILINGI YA TANZANIA MUDA HADI MUDA AU SIKU HADI SIKU.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...