Mwananmuziki wa kizazi kipya ambae yupo juu kwa sasa katika gemu ya Bongo Flava, Diamond akipokelewa na mashabi wake mjini Bukoba baada ya kuwasili Jumamosi Marcha 30, 2013 kwa ziara yake inayoendelea kanda ya ziwa wiki hii ya Pasaka.
Prezidah wa Bongo flava akisalimiana na mashabiki wake Mjini Bukoba wakati alipowasili akiwa njiani kuelekea Hotelini kwake ilibidi Polisi waingilie kati msafara wake kwa kusimamisha magari kuruhusu msafara wake upite na shughuli nyingine zilisimama kwa muda.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. piga kazi kijana usisahau tu kufanya maendeleo pia kwani hata mr nice alikuwa hivyo hivyo lakini sasa yupo hoi jiweke akiba ya badae

    ReplyDelete
  2. huko ndio kwa ndugu zetu wahaya haha choka mbaya alafu wakija mjini wao ndio wajanja kaazi kweli kweli

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...