Mwananmuziki wa kizazi kipya ambae yupo juu kwa sasa katika gemu ya Bongo Flava, Diamond akipokelewa na mashabi wake mjini Bukoba baada ya kuwasili Jumamosi Marcha 30, 2013 kwa ziara yake inayoendelea kanda ya ziwa wiki hii ya Pasaka.
Prezidah wa Bongo flava akisalimiana na mashabiki wake Mjini Bukoba wakati alipowasili akiwa njiani kuelekea Hotelini kwake ilibidi Polisi waingilie kati msafara wake kwa kusimamisha magari kuruhusu msafara wake upite na shughuli nyingine zilisimama kwa muda.
piga kazi kijana usisahau tu kufanya maendeleo pia kwani hata mr nice alikuwa hivyo hivyo lakini sasa yupo hoi jiweke akiba ya badae
ReplyDeletehuko ndio kwa ndugu zetu wahaya haha choka mbaya alafu wakija mjini wao ndio wajanja kaazi kweli kweli
ReplyDelete