SPACIOUS PLOT (PICTURED) OF 600M2 (SQUARE METRES) LOCATED IN PRIME AREA WITH SEMI-FINISHED HOUSE OF 3 BEDROOMS (SELF COINTAINED)
LOCATION: NJIRO – TANESCO, BLOCK B, PLOT NO. 309.
IT IS 150M FROM NJIRO TAMARC ROAD AND 350M FROM NJIRO COMPLEX (BOUGALOU)
PRICE: TSH 165,000,000/= (TANZANIAN SHILLINGS ONE HUNDRED SIXTY FIVE MILLION). THE PRICE IS ELASTIC AND HENCE THERE IS ROOM FOR NEGOTIATIONS.
CONTACT PERSON #: +255 716 925768; EMAIL:alphabanzi@yahoo.co.uk
AREA IS SUITABLE FOR BUILDING APARTMENT, OFFICE BLOCKS AND ANY OTHER DEVELOPMENT. IT HAS A CLEAR TITLE DEED AND ALL TAXES HAVE BEEN PAID ACCORDINGLY FOR OWNERSHIP OF THE AREA
kiasi gani? hiyo ni takriban £60,000 za mama msuka nywele! Sipingi bei yake ila nashangaa kama kuna watu wanaweza kumiliki kiasi hicho kwa nini Tanzania bado tunasema kuwa ni masikini?
ReplyDeleteNahisi kuna Baadhi ya watanzania wanayafanya Maisha kuwa MAGUMU na Yawe yenye MFUNGAMANO...For 600M2 kwa hela zote hizo?, unataka aishi mzungu HAPO or MTAnzania mwenzio. DO you Think WATU wengi katika Nchi hii ni wezi. HATA wengi wa waliostaafuu hawana Kiinuua Mgongo hicho.? PLEASE KUWA realistic... ARDHI zimejaa tele, wewe unatakiwa kuwa mmoja wapo wa kustandazzie MAisha ya MTZ na si wa kuyapeleka juu kila WAKATI, na kuwanufaisha wachache.CHANGE ni MM na WW
ReplyDeleteNahisi kuna Baadhi ya watanzania wanayafanya Maisha kuwa MAGUMU na Yawe yenye MFUNGAMANO...For 600M2 kwa hela zote hizo?, unataka aishi mzungu HAPO or MTAnzania mwenzio. DO you Think WATU wengi katika Nchi hii ni wezi. HATA wengi wa waliostaafuu hawana Kiinuua Mgongo hicho.? PLEASE KUWA realistic... ARDHI zimejaa tele, wewe unatakiwa kuwa mmoja wapo wa kustandazzie MAisha ya MTZ na si wa kuyapeleka juu kila WAKATI, na kuwanufaisha wachache.CHANGE ni MM na WW
ReplyDeletehEY WEWE JAMAA WA KWANZA UNA MIAKA MINGAPI HUJAFIKA BONGO`? HIYO NI PESA YA MADAFU TU JUA TANZANIA ILIVYO SASA NDIO HIO.
ReplyDeleteHapa Bongo wewe sema 'mimi masikini' na kamwe usiseme sisi masikini!
ReplyDeleteHuwezi amini, pana watu wanazimiliki FEDHA za halali TENA BILA UFISADI wala nini na wala huwezi kuwadhania.
Pana Gazeti moja la Afrika ya Mashariki linachapwa kila wiki Jijini Nairobi-Kenya halafu linasambazwa nchi zote 5 za EAC, ktk moja ya Makala zake ndani inazungumzia Wasifu na Hulka za Jamii zetu ktk hii Afrika ya Mashariki.
Mtoa makala anakuwa ni mtu yeyote wa eneo letu aliyewahi kutembelea nchi zetu hizi.
Wiki iliyopita alizungumza dada mmoja wa Uganda alieyewahi kutembelea saaana TZ aliesma ya kuwa ktk ziara zake alizowahi kuja hapa alisoma tabia ya Watanzania akagundua ya kuwa ni VIGUMU KUMTAMBUA MTANZANIA ambaye ni masikini na tajiri kumtofautisha kwa kuwa wengi wanaishi maisha ya siri sana huku wakiwa Matajiri wakubwa tena kwa FEDHA ZA HAHALI tu, kwa biashara na shughuli mbali mbali nchini hadi Kilimo na Uvuvi.
Hivyo huwezi kusema watu wote Tanzania ni masikini!
Kanda ya Kakazini Migogoro mingi sana ya ardhi vipi hapo hakuna msala?
ReplyDeleteSio ile puuu nimenunua nafika ktk Kiwanja changu kukagua nasikia Panga la kichwa ama Sime utosini ama nakamatwa masikio yangu yanakatwa KAWOSHI tena bila Ganzi!!!
Is there an oil well behind the house?
ReplyDeleteMchangiaji hapo juu! Unashangaa bei hiyo ndugu yangu? Watu wananunua majumba hata kwa mabilion. Bongo kumekucha bwana!!
ReplyDeletebongo kumekucha wapi njaa tupu ..wanaonunua kwa mabilioni ni wachache tuu..majority ni njaa kali.usidanganye watu hapa.
ReplyDeleteNinyi kaeni mkilalamikia Umaskini huku Fursa lukuki za Utajiri mkiziacha zikichukulia na Wageni.
ReplyDeleteHivi Wachina, Wahindi, Wakonggo, Waarabu na wengineo wanaokuja kuzikamata Fedha Bongo wana Wajomba zao hapa ama walitanguliza Mababu zao?
Ohhh!, majumba yanauzwa bei ghali sana hatuna hela hizo katafuteni Fedha ktk ardhi ya hii Tanzania yenu ambayo ina GAS, OIL, URANIUM ,GOLD ,STEEL n.k.
MKUMBUKE YA KUWA THAMANI YA TANZANIA HII HII MLIYOKUWA MNAIDHARAU IMEPANDA THAMANI KIMATAIFA KULIKO MSIVYOELEWA!
WATU WAKIKAA MAJUU ILE TU KUJULIKANA INA GAS, OIL, URANIUM AND GOLD AND SO ON INAKUWA NI BEI JU, HATA UKIPATA KIWANJA CHA UKUBWA KABURI BEI YAKE ITAFIKIA SIKU HUTAIWEZA.
Eleweni Tanzania imeingia ktk nchi zinazojulikana kama Ukanda wa Utajiri wa madini Kidunia hivyo moja kwa moja properties zake kuanzia ardhi zinapanda thamani.
ELEWENI KANUNI HIZI ZA UCHUMI:
1.VITU VINAJIPANDISHA THAMANI KULINGANA NA UJAZO WA KIUCHUMI UNAOLETWA NA ''ECONOMIC RETURNS'' ZINAZOTOLEWA SEHEMU HUSIKA MMILIKI AKIWEKEZA (Rasilimali zilizopo eneo husika).
2.THAMANI YA KITU (BEI) INAAMULIWA AMA INA OBEY ECONOMIC LAW OF 'DEMAND AND SUPPLY' YAANI MAHITAJI NA UPATIKANAJI WAKE SOKONI.
Sasa mnafikiri arihdi yenye Gas,Oil and Uranium ITAUZWA BEI RAHISI?
Msije kmaishia kwenye usemi usemamao ''TUMBO NIACHIE NIMWACHIE MANENGE UJI''
ACHENI UVIVU WA KUFIKIRI NA KUBAKIA MNALALAMIKA TU NA KULAUMU, TAFUTENI FEDHA ZILIZOJAA NCHINI MWENU TANZANIA...SASA WACHINA NA WAGENI WANAZIPATA FEDHA WAPI?, WAMEKUJA NA MITAMBO YA NOTI KUZIFYATUA?
PULL YOUR SOCKS!!!
Ok wadau wote hapo juu mnaotaka kutuarifu sisi tulio nje ya nchi kuwa Bongo hakuna umasikini, OK ujumbe umefika.
ReplyDeleteTanzania:
ReplyDeleteSisi Watanzania mchawi wetu mkubwa ni anasa na kutokuwa na malengo kimaisha na ndio inakuwa sababu kubwa ya kuzikosa Fedha na kulalamikia hali kila uchao!
Sasa je, hawa wageni kama Wachina, Wahindi hadi Mabanyamulenge kutoka Kongo wanakuja tajirikia Tanzania.
Ninyi mmekaa kazi ni:-
1.Ngono zembe.
MTANZANIA ATAKAPO PATA FEDHA UTAMJUA!, NI VILE ATAKANYAGA KILA AMWONAE MBELE, HAJUI MKE WA NDUGU RAFIKI WALA SWAHIBA HADI VIGOLI WANAFUNZI WANA KAZI YA ZIADA MBELE ZA DUNGADUNGA!
2.Ulevi mnajenga sana heshima Bar.
MTANZANIA ANAPEDHA SIFA SANA NA KUONEKANA YEYE SIO BAHILI ANATOA HUDUMA WATU WALEWE BAR.
3.Matumizi na maamuzi mabaya ya fedha.
MTANZANIA AKIPATA FEDHA ANASHINDWA KUWEKA VIPAUMBELE VYA KIMAISHA, UTAKUTA MTU ANAACHA KUTUMIA FEDHA ZAKE ALIZOPATA KWA TABU SANA KTK MAMBO MUHIMU ANARUKIA MAMBO YENYE KUMPA SIFA AMBAYO MBELE YAKE HAYANA TIJA KWAKE KIMAISHA.
4.Uvivu.
MTANZANIA NI MVIVU KIKAZI HADI KTK KUFIKIRI NA KUWA MBUNIFU WA UTAFUTAJI WAKE. ANASHINDWA KWENDA NA WAKATI HUKU IKIELEWEKA YA KUWA MAMBO HAYAGANDI YANAKWENDA NA KASI YA MABADILIKO.
5.Dharau na kupenda sifa, tunachagua sana kazi na shughuli.
MTANZANIA ANA DHARAU SANA NA HASA AWE AMESOMA KIDOGO KUNA BAADHI YA KAZI HATA KWA VIBOKO HAFANYI HUKU AKIWA ANA SHIDA YA KIFEDHA, PIA TUMEJENGEKA NA TABIA YA KUTARAJIA KUAJIRIWA PEKEE NA HUKU MFUMO WA ELIMU UKIWAANDAA WATU ILI KUTUMIKIA KUAJIRIWA NA SIO KUJIAJIRI, HIVYO WATU WALITAKIWA WAJITUME KUJIAJIRI ZAIDI ILI KUKABILIANA NA CHANGAMOTO ZA KUSHUKA KWA KIPATO.
Tukijirekebisha kwa hayo matano 5 nadhani mabadiliko tutayaona kihali!
Wabongo, ohhh fedha hatuna, acheni ngono zembe mdundulize FEDHA ili nayi muweze kununua majumba ktk bei za juu!
ReplyDeleteSasa wewe unalalamika nyumba bei ghali sana huku umeshusha ZIPU ya suruali yako?
Wanaolalamika sana hapo ni wapiga box hasa walioluwepo marekani! Tanzania sio ile ya zamani ni wengi wanamiliki mamillioni ya mafweza, hiyo tena ni cha mtoto, tena bush huko Arusha,...
ReplyDeleteEMBU JARIBU TEMBELEA BLOG ZA TANZANIA REAL ESTATE, TANZANIA HOSES FOR SALE,PLOTS FOR SALE DAR ES SALAAM NDIO UTAJAZA AKILI YAKO KAMA ILIKUWA MBUMBUNA HUKU NI TANZANIA YA LEO SIO YA MWAKA 90
SIO WATU WOTE NI MASIKINI HUKU. HIO NI OFFER JAMAA KATAO KAMA UNAWEZA AMEWEKA CONTACT ZAKE KAMA HUWEZI KAA KIMYA WANUNUZI WAKO WENGI TU NA ATAUZA WITHIN ONE MONTH
Hakuna kukucha kokote, hiyo pesa hailingani na uchumi wa nchi kabisaa, nyumba ya 165Mil ha Kansas ni nyumba nzuri sana - yenye barabara, maji,umeme,shule, near shopping centre, wala sio hilo gofu ninalo liona
ReplyDeleteNimeuza kiwanja Njiro, karibu na nane-nane, bila nyumba kwa $46,000 cah. Aliye nunua ni mtanzania, mkulima wa maua na vituu nguu.
ReplyDeletebei za bongo zinastua kidogo.. kujua hali ya soko kibongo bongo cheki.. www.darproperty.co.tz
ReplyDeleteAnony May 15, 2013 Msema kweli mpenzi wa Mungu Bongo kumekucha mbona Jay Dee ananyanyasika hivyo kwa kipaji chake mwenyewe. Jingine Ona matangazo yote Michuzi aliyonayo wakati jide hana hata moja. Duniani haki ya kupigania sana.
ReplyDeleteHiyo "BUBBLE YA NYUMBA" Bongo itakuja kupasuka hivi punde. Hizo bei ni VERY UNREALISTIC. Kwa bei hiyo bei utafikiri unanunua nyumba New York au Chicago (ukienda Texas au miji mingine ni nyumba kubwa kabisa) ambayo ni bora maradufu kuliko hiyo pichani ambayo hata haijaisha...I am counting the days...tic toc tic toc
ReplyDeleteto be honest Tanzania inahitaji ku-regulate bei za nyumba. nashangaa kiwanja na nyumba bongo ni ghali kuliko hata USA
ReplyDelete..... to be honest, watanzania wengi wana kipato duni, wachache kipato cha kati (wafanya kazi kwenye sekta ramsi--wasomi). Tusijidanganye kwamba wengi wana hiyo hela, hao wachache wafanya biashara ndio mafisadi wakubwa wa kutolipa kodi katika nchii hiii na kuwanyonya wafanyakazi wanaolipa kodi kila mwezi japokuwa mishahara yao midogo. Na nyie mnaosema kuna hela labda mmeridhi... Mie ni mfanyakazi hapa bongo kwenye shirika very REPUTABLE lakini mshahara kiduchu mno na ni graduate.. Ni mfanyaKazi kwa mwaka wa Tano sasa. Tatizo watanzania hatuaminia hata kama nikikwambia nalipwa kidogo,, Hakuna USIRI TZ ni hatuamini UKWELI..
ReplyDeleteStill nasema NYIE wauza VIWANJA , kuweni REALISTIC ama mnataka kuuza nchi yenu kwa WAGENI? HAiingii akilini hata kidogo.. MFanyakazi ili asevu pure ML 10 kwa ajili ya kununua kiwanja NJE ya mji , Tena ASEVU baada ya matumizi yote kama kulipa kodi za nyumba ,kula na kusaidia FAMILIA. itamchukua MDA mnoooo.... PLease... TUSIDANGANYIKE na KUPANGIWA BEI KUTOKANA NA INFLUENCE YA WAGENI WANAOKUJA>>