Home
Unlabelled
UTEUZI WA MABALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI NA UMOJA WA FALME ZA KIARABU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Go dada LIBE. Congrats to The Rutageruka clan.
ReplyDeleteuteuzi mzuri hasa huo wa marekani
ReplyDeleteHongera sana Mama Mulamula. Mungu azidi kukuinua. Mama Mchapakazi nenda ukazidi kuwa mfano bora kuiwakilisha tanzania.
ReplyDeleteLakini hakuteuliwa kwa ukoo wake bali kwa uwezo na Utanzania wake!
ReplyDeleteankal naomba uniulizie hili kwa wizara ya mambo ya nje..ni lini vijana watapewa hizi nafasi?mbona wanaopewa hizi nafasi tayari walishatumikia hii nchi sana?.au ndio hatutaki kuwa na succession nzuri?
ReplyDeleteme nadhani vijana kati ya 30-45 wanafaa zaidi kuwa mabalozi maana akili&mwili zinachemka sana kupambana na dunia ya kisasa. Kama enzi za mwl Nyerere alikuwa na mawaziri in their 30's kwanini siku hz tumeacha?..hebu tuwape vijana nafasi na hii itasaidia kuandaa viongozi wa baadae na kupunguza tatizo la ajira
mdau
france
Mdau wa France, huwezi kushindana na experience na reliability. Siyo kila mzee anapata hizi nafasi ni wachapa kazi tu.
ReplyDeleteHONGERA BROTHER MBAROUK NASSOR MBAROUK. MUNGU AKUZIDISHIE NA AKULINDE KWA KILA BALAA NA FAMILIA YAKO.
ReplyDelete