Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 15, 2013

    Go dada LIBE. Congrats to The Rutageruka clan.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 15, 2013

    uteuzi mzuri hasa huo wa marekani

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 15, 2013

    Hongera sana Mama Mulamula. Mungu azidi kukuinua. Mama Mchapakazi nenda ukazidi kuwa mfano bora kuiwakilisha tanzania.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 15, 2013

    Lakini hakuteuliwa kwa ukoo wake bali kwa uwezo na Utanzania wake!

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 15, 2013

    ankal naomba uniulizie hili kwa wizara ya mambo ya nje..ni lini vijana watapewa hizi nafasi?mbona wanaopewa hizi nafasi tayari walishatumikia hii nchi sana?.au ndio hatutaki kuwa na succession nzuri?

    me nadhani vijana kati ya 30-45 wanafaa zaidi kuwa mabalozi maana akili&mwili zinachemka sana kupambana na dunia ya kisasa. Kama enzi za mwl Nyerere alikuwa na mawaziri in their 30's kwanini siku hz tumeacha?..hebu tuwape vijana nafasi na hii itasaidia kuandaa viongozi wa baadae na kupunguza tatizo la ajira

    mdau
    france

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 15, 2013

    Mdau wa France, huwezi kushindana na experience na reliability. Siyo kila mzee anapata hizi nafasi ni wachapa kazi tu.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 15, 2013

    HONGERA BROTHER MBAROUK NASSOR MBAROUK. MUNGU AKUZIDISHIE NA AKULINDE KWA KILA BALAA NA FAMILIA YAKO.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...