Meneja Mauzo na USAMBAZAJI WA kiwanda cha Konyagi cha Tanzania Distilleries Limited (TDL), Mwesige Mchuruza Akionesha kifaa cha kuifazia takataka ambapo jumla ya Vifaa vya  kisasa 130 vya Kuhifadhia Taka vilitolewa na kampuni hiyo
Meneja Mauzo na USAMBAZAJI WA kiwanda cha Konyagi cha Tanzania Distilleries Limited (TDL), Mwesige Mchuruza (kushoto), akimkabidhi Meneja wa Baa ya Calabash iliyoko Mwenge, JUMA Kihoma, kifaa cha kuhifadhia taka zinazotokana na kinywaji aina ya kiroba kwa lengo la kudumisha usafi wa mazingira. Hafla hiyo ya kugawa vifaa 80 kwenye baa mbalimbali wilayani Kinondoni, Dar es Salaam, ilifanyika leo. Katika Wilaya ya Ilala waligawa vifaa 50.

Meneja Mauzo na Usambazaji wa Kiwanda cha Konyagi cha Tanzania Distilleries Limited (TDL), Mwesige Mchuruza (kushoto), akimkabidhi Meneja wa Baa ya Mama Kamche's iliyoko Mwenge, Patrick Mrema, kifaa cha kuhifadhia taka zinazotokana na kinywaji aina ya kiroba kwa lengo la kudumisha usafi wa mazingira. Hafla hiyo ya kugawa vifaa 80 kwenye baa mbalimbali wilayani Kinondoni, Dar es Salaam,
Meneja Mauzo na Usambazaji wa Kiwanda cha Konyagi cha Tanzania Distilleries Limited (TDL), Mwesige Mchuruza (kushoto), akimkabidhi Meneja wa Baa ya Etina iliyoko Mwenge,Egbert Mtunza, kifaa cha kuhifadhia taka zinazotokana na kinywaji aina ya kiroba kwa lengo la kudumisha usafi wa mazingira. Hafla hiyo ya kugawa vifaa 80 kwenye baa mbalimbali wilayani Kinondoni, Dar es Salaam, ilifanyika. Katika Wilaya ya Ilala waligawa vifaa

Meneja Mauzo na USAMBAZAJI WA kiwanda cha Konyagi cha Tanzania Distilleries Limited (TDL), Mwesige Mchuruza Akizungumza na wana habari wakati wa kugawa vifaa vya kuhifadhia takataka

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 20, 2013

    Tunaposema kifa cha 'ki-sasa', hicho kifaa 'dumpster' kina u-sasa gani?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 20, 2013

    Mkiweka mtaani kwa ajili taka wabongo na vibaka wataiba.wabongo bwanaaa?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 21, 2013

    Sijui kama walevi wataweza kulenga hilo dude wakati wanatapika baada ya kunywa hicho kilevi!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 21, 2013

    Tunashukuru sana lakini hakitasaidia. Wabongo si tunajuana? kikiwekwa tu mtaani , kwishney!

    TUBADIRIKE ILI TULETEWE MENDELEO ZAIDI

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...