Meneja Mauzo na USAMBAZAJI WA kiwanda cha Konyagi cha Tanzania Distilleries Limited (TDL), Mwesige Mchuruza Akizungumza na wana habari wakati wa kugawa vifaa vya kuhifadhia takataka |
Home
Unlabelled
KONYAGI YAGAWA VIFAA VYA KISASA VYA KUHIFADHIA TAKA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Tunaposema kifa cha 'ki-sasa', hicho kifaa 'dumpster' kina u-sasa gani?
ReplyDeleteMkiweka mtaani kwa ajili taka wabongo na vibaka wataiba.wabongo bwanaaa?
ReplyDeleteSijui kama walevi wataweza kulenga hilo dude wakati wanatapika baada ya kunywa hicho kilevi!
ReplyDeleteTunashukuru sana lakini hakitasaidia. Wabongo si tunajuana? kikiwekwa tu mtaani , kwishney!
ReplyDeleteTUBADIRIKE ILI TULETEWE MENDELEO ZAIDI