Mwanamuziki wa Reggae nchini Jhikoman afungua mtandao wake
www.jhikoman.com mtandao ambao unaweza kusikiliza nyimbo na kusoma
mambo mbali mbali ya Jhikoman and Afrikabisa band.
Wadau msikose kumpa shavu mtoto wenu Jhikoman Manyika at
www.jhikoman.com
Home
Unlabelled
Libeneke jipya la Mkongwe Jhikoman
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...